Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Miwanawake ya siku hizi bwana wala hairiziki cjui kwa nn
Akioata dushe kubwa utaskia nahtaj mapenz ya dhat
Akimpt wa mapenz ya dhati utaskia ooh hana pesa
Ndio mana niwdays watu wanaamua kula 0713.....tu
 
Uliowala tigo wamekuambia hawajafurahia? Teh sidhani km unawakomoa mkuu.
 
Halafu wanafanya kusudi kutongoza wake za watu akisahau kuwa na mkewe anatongozwa.
Na sie ni binadamu ati, naanzaje kukataa kwa mfano.
**ukila vya watu jua na vyako vinaliwa maradufu.
Hawa si ni malofa, utakuta anachat na mke wa mtu anaomba na picha za viungo pendwa, ila mkewe akichatishwa nongwa linatamani kuua mbona ye hajauliwa.
Wajue kabisa unavofanya kwa wengine na wako anafanyiwa...
 
Aaaaah nauliza ni nani alaekula chakula cha a in a moja kila siku..acheni tuchepuke..kuna wafipi.warefu...wanene....wembamba...acheni tuchepuke..
 
Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
Napenda mwanamke mchepukaji !
 
Back
Top Bottom