Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Kweli hafu mume Ana chepuka. Kuna huyo kaka alikuwa anajisifia uhuni nikajua yeye ni kiboko halaa wakati wa mechi alikuwa hajui kitu nilichoka. Nikajua mkewe anapata tabu
Kweli kabisa mke mara hana adabu mkali mkali hivyo jua kabisa huko ndani mme bila bila
 
Huo mda wa kuomba ungepata wakukupunguza hamu stress zingeisha na ungeacha kufatilia busy mpaka ajishtukie
Nitaomba siku ya 1 ya 2 nagundua kuwa anasaula ke huko , sina muda kwanini nisijiombee mwenyewe kama ni maradhi abaki nayo mwenyewe, akaombewe na ndugu zake [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina muda
 
Umeona eeeh huku mpenzi wako ni kukubaka tu hajui mambo. Wanaume hawajui kuchepuka wanawake ni vinara sema tuna siri kubwa tofauti na wanaume wao hufanya matangazo
Na kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoni
 
Hata wanawake hukojozana sasa ya wanaume haishangazi kabisa. Nikiachwa natafta mwingine ni kama daladala akishuka huyu anapanda mwingine. So hyo kuachwa ni useless tu. Raha kufika orgasms kwa kwenda mbele

Sawa kama ndo maisha ulochagua.
 
hahahhaajaja bora ukose hela ya kuretouch nywele jaman kuliko........dadeeek
Kwenda zako huko kila mtu apate amani ya moyo wake ukinichosha nami nasuuza moyo kwingine tukikutana wepesi atakaeanza kulia lwake
Umeona eeeh eti starehe haki yake wanaume ni so selfish. Na wanalkesha kusali ndo Wana stress hatari. Nyege hazihtaji maombi zile ni kutolewa tu loh
Natafuta soko nikipata tu nawauza wote mmeshindikana!
 
Kweli huwa hawasahauliki ukikimbuka tu kule ikulu mambo yana haribia kabisa. Sasa huku mume ajidai kidume cha jogoo

kuna mwalimu mmoja baada ya kuachana na mme wake anaishi maisha hayo hayo, in addition anauza pombe yani ukiwa na hamu zako ukamlilia hakunyimi papuchi
 
Na kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoni
Sisi wanawake hatupendi kuweka moyoni tukilizungumza jambo Mara nyingi hupata nafuu na hyo Hali kutoweka sasa nyie jidaini wagumu.
 
kuna mwalimu mmoja baada ya kuachana na mme wake anaishi maisha hayo hayo, in addition anauza pombe yani ukiwa na hamu zako ukamlilia hakunyimi papuchi
Sasa hapo na yeye si anapata raha hapo sioni shida. I think she is happy
 
Siyo kujidai ila ndo tulivyoumbwa tu machozi hayaji kirahisi hivyo kiukweli binafsi yakija huwa sizuii ila mpaka yaje sasa,
Kuna kipindi nilikuwaga sina hisia machozi hayotoki aisee nilikuwaga naumia, Ila baada ya hisia kurudi machozi dakika sifuri hata siumii kwa jambo lolote. Hakika wanaume ndo mana mnakufa mapema kwa kuficha maumivu moyoni
 
Machozi ni zaidi ya dawa katika kulinda afya ya mwanadamu
 
Ninyi mna afadhali mkiudhiwa mnalia lakini wengi wetuvtwavumilia kitu ambacho ni hatari
Kweli kabisa aisee mi nilipata tabu sana. Ila yalioanza kutoka wooi na raha sana
 
Back
Top Bottom