Kweli kabisa mke mara hana adabu mkali mkali hivyo jua kabisa huko ndani mme bila bila
Nitaomba siku ya 1 ya 2 nagundua kuwa anasaula ke huko , sina muda kwanini nisijiombee mwenyewe kama ni maradhi abaki nayo mwenyewe, akaombewe na ndugu zake [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina muda
Hii ndo misemo yenu yakujitetea hakuna cha kuchoka wala nn bali tamaa tu za kijinga,Pole mkuu kwa yaliyokukuta kwa mkeo
Ukiona hivyo ujue amekuvumilia amechoka usiombe mwanamke achoke
Na kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoniUmeona eeeh huku mpenzi wako ni kukubaka tu hajui mambo. Wanaume hawajui kuchepuka wanawake ni vinara sema tuna siri kubwa tofauti na wanaume wao hufanya matangazo
Hata wanawake hukojozana sasa ya wanaume haishangazi kabisa. Nikiachwa natafta mwingine ni kama daladala akishuka huyu anapanda mwingine. So hyo kuachwa ni useless tu. Raha kufika orgasms kwa kwenda mbele
hahahhaajaja bora ukose hela ya kuretouch nywele jaman kuliko........dadeeek
Kwenda zako huko kila mtu apate amani ya moyo wake ukinichosha nami nasuuza moyo kwingine tukikutana wepesi atakaeanza kulia lwake
Natafuta soko nikipata tu nawauza wote mmeshindikana!Umeona eeeh eti starehe haki yake wanaume ni so selfish. Na wanalkesha kusali ndo Wana stress hatari. Nyege hazihtaji maombi zile ni kutolewa tu loh
Sawa kama ndo maisha ulochagua.
Hahaaaaa tuuze tu mkuu Ila kwa bei nzuriNatafuta soko nikipata tu nawauza wote mmeshindikana!
Kweli huwa hawasahauliki ukikimbuka tu kule ikulu mambo yana haribia kabisa. Sasa huku mume ajidai kidume cha jogoo
Sisi wanawake hatupendi kuweka moyoni tukilizungumza jambo Mara nyingi hupata nafuu na hyo Hali kutoweka sasa nyie jidaini wagumu.Na kwenye mapenzi wanaoumizwa sana ni wanaume ile wanawake wanaonekana wahanga kwa sababu yakulialia kwa kuonekana lakin mwanaume anakufa na chake moyoni
Sasa hapo na yeye si anapata raha hapo sioni shida. I think she is happykuna mwalimu mmoja baada ya kuachana na mme wake anaishi maisha hayo hayo, in addition anauza pombe yani ukiwa na hamu zako ukamlilia hakunyimi papuchi
Nitawauza bei yoyote tu ili msiendelee kubaki mikononi kwangu, ni waharibifu sana mnaweza haribu hata vizazi vijavyo.Hahaaaaa tuuze tu mkuu Ila kwa bei nzuri
Siyo kujidai ila ndo tulivyoumbwa tu machozi hayaji kirahisi hivyo kiukweli binafsi yakija huwa sizuii ila mpaka yaje sasa,Sisi wanawake hatupendi kuweka moyoni tukilizungumza jambo Mara nyingi hupata nafuu na hyo Hali kutoweka sasa nyie jidaini wagumu.
Hahaaaaa jamani situnawafundisha wanawake zetu maunjanja kila siku wanajiliza liza tu bure kisa waumeNitawauza bei yoyote tu ili msiendelee kubaki mikononi kwangu, ni waharibifu sana mnaweza haribu hata vizazi vijavyo.
Kuna kipindi nilikuwaga sina hisia machozi hayotoki aisee nilikuwaga naumia, Ila baada ya hisia kurudi machozi dakika sifuri hata siumii kwa jambo lolote. Hakika wanaume ndo mana mnakufa mapema kwa kuficha maumivu moyoniSiyo kujidai ila ndo tulivyoumbwa tu machozi hayaji kirahisi hivyo kiukweli binafsi yakija huwa sizuii ila mpaka yaje sasa,
Sasa hapo na yeye si anapata raha hapo sioni shida. I think she is happy
yap as long as si mchoyo tunaponea hapoSasa hapo na yeye si anapata raha hapo sioni shida. I think she is happy
Machozi ni zaidi ya dawa katika kulinda afya ya mwanadamuKuna kipindi nilikuwaga sina hisia machozi hayotoki aisee nilikuwaga naumia, Ila baada ya hisia kurudi machozi dakika sifuri hata siumii kwa jambo lolote. Hakika wanaume ndo mana mnakufa mapema kwa kuficha maumivu moyoni
yap as long as si mchoyo tunaponea hapo
Machozi ni zaidi ya dawa katika kulinda afya ya mwanadamu
Kweli kabisa aisee mi nilipata tabu sana. Ila yalioanza kutoka wooi na raha sana