Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cc moneytalk
 
Kweli wewe mwehu jamani,nipo hapa mtaalam wa katerero napendaga,
 
1.


1. Ni majukumu yapi hayo mwanamke amejivika ambayo hastahili? Maana hukutaja.
Aliyekuambia kuwa mwanaume anauwezo wa kumiliki wanawake wengi hlf mwanamke ashindwe ni nani?
Mwanamke hana uwezo wa kuolewa na wanaume wengi lakini haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.

2. Wewe ni mbinafsi sana maana unahisi mwanamke akisalitiwa haumii. Hivi nyie wanaume mkoje? Mnakera sana sometimes na ubinafsi wenu wa kipumbavu.
Ni utamaduni tu ambao mwanamke amewekewa toka enzi na enzi na tumeendelea kurithi hivyo. Tumeaminishwa kwamba kuchepuka ni kosa kwetu lkn kwa mwanaume ni sahihi.
Mungu ninayemuamini mimi hayupo hivyo, hana upendeleo.
Hiyo mistari ya biblia kaa nayo maana imeandikwa kwa lengo lile lile la kumfanya mwanamke awe chini siku zote hata kwa mambo ya kipuuzi.

3. Ninaelewa kuwa mwanaume ana hitaji kupewa heshima lakini sio kwa mtazamo huo.
Kuhusu talaka mimi sijali nani anatoa, nina amini katika mapenzi ya dhati, napendana na mtu na siku ikitokea tumeshindwana utoe talaka au usitoe haijalishi. Tunamwagana maisha yanaendelea. Sipendi kucomplicate mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…