FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijitakia kuumiza moyo wangu bure[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Kumbe huoni yakwako eeh,me nilishanawa mikono kwako endelea nawale wakule
Yaani naumia kama mimi ndio Mwifwamwifwa sio wangu tena
Kwani huwezi kumpa tena nafasi nyingine?Acha tu mimi mwenyewe nilishindwa kuamini mwanzoni
Sumu inayoua kila jambo lisilokuwa jemaujinga sumu
Ujue nature huwa ina tabia ya kubadilika, nahisi sasa imehamia kwa wanawake. Ni kama vile mabadiliko ya tabia nchi. Tuvumiliane tu.kama ni nature waache ulalamishi hahaha hakuna mwenye moyo wa chuma
Kila mtu ana moyo wa nyama😡
[emoji16][emoji16] natetea penzi lako lirudi maana ukiachwa hapa kuna sehemu utakua unanisumbua sana [emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
mmh nategemea furaha yangu kutoka kwenu ndugu zanguWe endelea tu kuvuja damu mwenzako yupo na amani zake za moyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nipakazie tu hivyohivyo..
Weeeee...siamini!!!huyo ndo mwenyewe
mwanaume wangu akichepuka nikamkanya zaidi ya mara moja haachi me naachana nae kabisaKivipi tena
Nasalitiwa wazi wazi kiasi hichi, sijui kwa nini nimeumiza moyo wangu kiasi hichi[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]mwifwa sio wangu tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]itakuwa aseeHuyo hana tofauti na king mswati au ni ndugu yake
poleeeeeNilijitakia kuumiza moyo wangu bure[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Endelea kuwa sister
Ujue nature huwa ina tabia ya kubadilika, nahisi sasa imehamia kwa wanawake. Ni kama vile mabadiliko ya tabia nchi. Tuvumiliane tu.
Kwa jins nilivyotangazwa wazi wazi sina hamu nalo tena[emoji16][emoji16] natetea penzi lako lirudi maana ukiachwa hapa kuna sehemu utakua unanisumbua sana [emoji23]