Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Jiulize Marekani na Brazil in ipi nchi maarufu zaidi duniani. Naamini umenielewa.
Kaka huu mfano ulioutoa ni utata mtupu, hapo panatakiwa utafiti wa kina, japo na mm naanza tangu sasa kutaka kujua ni ipi inajulikana zaidi kati ya marekani na brazil japo sina imani kama marekani inatambulika zaidi kupitia haya mawili, si muziki wala mpira. Kiujumla pana utata hapa
 
Uo sasa upuuzi viposti vingine! Wote wanaitangaza nchi vipi unajingine unafiki tu acha wachape kaziii la sivo nakutuma india kutibiwa[emoji57]
 
Siwatu wote wanapenda mpira,Siwatu wote wanafuatilia ligi ya nchi ambayo Samata anachezea,labda angekuwa anachezea ligi ya england au Spain.unajua watanzania tunafuatilia ligi ile kwasabab Samata anacheza pale,jiulize kwanamna gani wachina wamfuatilie mbwana,je Norway,je Sweden.lakn hebu jiulize diamond ametembelea nchi ngap!halafu utakuja najibu Nani zaid.mim siompenzi Wa mzik,lakn diamond nihabari nyingine.watanzania hatupendi kusema ukweli
 
swali lako pumba, like hivi Bisi na Ugali kipi kina wanga zaidi
 
linganisha kulibgana na fani.
mfn: mond v kiba
samata v ulimwengu/sb

sasa ww unachanganya madesa. kiufupi ume-disco!!!
 
Back
Top Bottom