Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Na ndiyo Maana wote watatu wana Tunzo za Kimataifa,,, so unaposema mmoja kati yao unakosea ndugu, but kwa upeo wa wengi mnaona ni sahihi kutengeneza ushindani wa ajaabu....... MUNGU IBARIKI TANZANIA, BARIKI NA WATU WAKE PIA....
 
Toa kibakuli weka vanessa mdee v money v maunga
 
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
Toa kiba weka harmorapa
 
Nenda kwenye mitandao yakijamii angalia yule mwenye followers wengi zaid huyo ndiye
 
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?

Huo udhalilishaji, yaani umfananishe Samatta na hao wabana pua?
 
JamiiFormus pekee... Siyo chui siyo simba wala mamba...
 
Back
Top Bottom