Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Mbona umeguna mama!.Io avatar naipenda.It amazes me everytime i look at it.
Toa kiba weka harmorapaKwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
huy kaenda kutuwakilisha.huko SAongeza bashite..
Copy that too!.[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Kwa sasa Tanzania tuna vipaji mbalimbali katika sekta za michezo. Je, kati ya Samatta,Kiba na Diamond, nani ni zaidi katika jamii,kuitambulisha nchi kimataifa na nani ni maarufu sana hapa bongo?
Tunafunga mjadalaKiba ni mkubwa kuliko hili shindano lenu!