Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

Wote wanatangaza nchi, kila mmoja kwa uwanja wake. ESPIRIT DE CORPS
 
Diamond yupo juu samata yy zaidi Belgium ata ukienda kenya tu apo awamjui ila taja diamond aka simbaa ata dem utapata bila ata kutongoza
 
Haina haja ya kuwashindanisha wote wanaitangaza nchi vizuri bila kumsahau kaka Zabibu kijana wa Kariakoo.
 
fani ya samatta kwa level zake hawezi kuitangaza tanzania kimataifa zaidi ya diamond, timu sio maarufu sana pia wachezaji wa africa kwa size ya timu anayo cheza samatta ni wengi jambo linalo mfanya asionekane kwa ukubwa sana kama diamond. siku akianza kucheza epl naomba uulize swali tena ila kwa mtazamo wangu diamond yuko juu katika suala la kuitangaza nnchi kimataifa.
 
Music is a soul touching instrument,football is just a heart touching instrument...every one will be touched to his own concern!...
 
Dah naona watu wanajibu kwa mahaba tu. Mimi ni mpenzi wa mpira na muziki ila kiukweli Diamond anaitangaza Tanzania kuliko Samatta.
 
Wote ni vijana wetu tunawakubali na wote wanaitangaza nchi yetu hongereni sana vijana wetu
 
Diamond kimataifa samatha kiligi kidogo tu cha belgium .
 
Kwa sasa Diamond anatangaza zaidi ila kama Samatta ataendelea kufanya vizuri anaweza kumzidi Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…