Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni

Results are only viewable after voting.
Umekaa ukawaza kabisaaa kuwa huyu atakuwa barafu
Mie sipo hivyo,sijkwezi na huwa sina hulka hiyo.Yanini wakati hata ID natumia fake,ningependa hivyo ningekuwa verified....basi hata Diva Beyonce atakuwa mimi
Huyo hakujui vzuri tu hajui hata kusoma between the lines na kuelewa aisee. Wewe si wa sport sport habari zako nzuri asiiufananishe na vtu vya ajabu bana. Na hachelewi kweli kufikiri hivo.
 
Mbona nasifiaga sisiem sana mmu alafu hamjanichagua..
 
Yaani yule dada hayupo! Hapo mmechakachua....Sichangii Ng'o...
 
Uzi kama huu ulitakiwa uanzishwe na Jamii forums wenyewe,hakuna ajuaye lengo hasa la mleta mada kuanzisha uzi huu ni lipi?

Watu wengi humu wanatumia ID fake na hawapo tayari kujulikana, so sidhani kama kuna yeyote atakaeshinda "shindano" hili itakua ni rahisi kwake kumtumia contact zake mtu asiyemjua (mleta mada) ili amtumie hiyo laki moja,

nadhani itakua busara zaidi kama uongozi wa jamii forums watauchukue huu uzi na kuuboresha au waufute kabisa,

huu ni mtazamo wangu tu.
Kuufuta hapana, waufanyie marekebisho. Uwe chini yao! na mtoa fedha ajitambulishe kwao. Mshindi itabidi a disclose identity yake, hilo liwe sharti kubwa. After all mkinijua kesho nachukua ID nyingine ya kusemea humu
 
ushauri hii ingekuwa vizuri kama ungetafuta washindi katika kila jukwaa mf siasa mahusiano techs elimu entertainment ukishapata washindi huko then hao ndo wapambanishwe kupata mmoja nimesema hivi kwakuwa kuna watu wao wamejihusisha na jukwaa flani tu mf Chief mkwawa yeye yupo jukwaa la techs sijawahi muona siasa wal mahusiano na analitendea haki kweli kweli
 
Upo sawa kabisa
 
Jamani staff Invisible si aje kufanya marekebisho hapo ..!!...Maana mwaka ndo huo unaisha hivyo naomba mchakato uanze mapema isijekuwa kama Dodoma..!!..Mods fanyeni chap chap....
 
Strange, ina maana Lizaboni hajajipigia kura! It reads zero%
 
Back
Top Bottom