Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Huyo hakujui vzuri tu hajui hata kusoma between the lines na kuelewa aisee. Wewe si wa sport sport habari zako nzuri asiiufananishe na vtu vya ajabu bana. Na hachelewi kweli kufikiri hivo.Umekaa ukawaza kabisaaa kuwa huyu atakuwa barafu
Mie sipo hivyo,sijkwezi na huwa sina hulka hiyo.Yanini wakati hata ID natumia fake,ningependa hivyo ningekuwa verified....basi hata Diva Beyonce atakuwa mimi