Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahamie mtandao mwingine aachane na JF hahahahahahahahahahhahaahahahahahahahAlieipanga hii list hana tofauti na yaliyofanyika dodoma, Mshana jr kakatwa[emoji37]
Mkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. victorie
9. Technically
10. Ocampor four
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
PIGA KURA YAKO.
Kweli kuna huyu mkuu anaitwa nguruvi nilishasahauOn behalf of myself hawa ndio member bora zaidi kwa huu mwaka.
Nguruvi3
The Boss
MSEZA MKULU
The bold
mshana jr
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tayari wameonesha kushinda hivyo wewe anza kutoa kikojoleo chako nje tayari kuharibu simu hahahaahhAkishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
Akishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
atapata yangu, wakudadavua, rutashobolwa, stroke, yehodaya, motochini na wengineo😉😉😉lizaboni hana hata yake
hahahahahahahahhahahaaahah jamani mbona unanichekesha mwenzio na jua kali namna hii hahahahahahahmbona sioni jina langu?