Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
[emoji23][emoji23][emoji23]majibu ya watu sasa.....ila ungeweka vigezo na utaratibu mzima wa zoezi hili
 
Akishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
 
Mkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.
 
Akishinda lizaboni au faiza foxy nakojolea simu yangu hapahapa...nva jf siingii tena
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tayari wameonesha kushinda hivyo wewe anza kutoa kikojoleo chako nje tayari kuharibu simu hahahaahh
 
Lizaboni hana vigezo vya kuwepo kwenye hiyo list yako. Kwa sababu hizi.
1. Mzushi
2. Matusi dhidi ya member wenzake na viongozi wa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…