Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
eti kaniweka mimi ?Nimemuuliza hii list kaitoa wapi?
Kiranga hayupo @ nyani ngabu msukuma hayupo @ the bold na mshana .. Kuna vichwa vingi na hapa JF kuna watu wamebase kwenye baadhi ya majukwaa..
Kuna steve job @ consiglience wengi tu
Kwel hata mi the boss mana nikiona tu comment yake hua nasoma yote coz kuna kitu napata kwakemshana jr alipaswa kuwepo pia. He is one of the best ambae unaweza kumsoma na kumuelewa.
Lizaboni angechukuwa nishani kwa kuwa the most hated
Faiza Foxy zaidi ya kurekebisha spelling za watu sijawahi ona mchango wake.
The Boss is quite good naweza mpa kura yangu.
Endelea kulitafuta tu mkuu,mbona sioni jina langu?
Off course why not!eti kaniweka mimi ?
Kuwaweka Faiza Foxy na Lizabon ambao wamelalamikiwa na wanajamvi mara nyingi sio sahihi hata kidogo. Tena kumwacha Mshana Jr kumenishangaza sana. List imeandikwa na yule Jecha au?
mnazungumziaje uwepo wangu kwenye hizi tuzo?Hakuna hata mmoja wa maana hapo.. Weka barafu wengine wote ni wafia chama either cdm au ccm.. Kisogo Pasco na Mwanakijiji ndio wanastahili..
sidanganyikiOff course why not!
Mimi nakupenda sana asingekuweka ningeandamana.
Hapa inabidi list iwe ndefu.
Ila tuongee nikupe kura yangu basi njoo pm
Hii list ulitakiwa uifungulie uzi wake mwingine na title iwe umoja wa kumpongeza Magufuliatapata yangu, wakudadavua, rutashobolwa, stroke, yehodaya, motochini na wengineoπππ
Kwa hio ukishinda utagoma kuichukua hio laki?sidanganyiki
Orodha yako yenyewe tu kichefuchefu. Kama na udini ni disqualification Bi Mkubwa anafuata nini kwenye list?Habari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata...
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. victorie
9. Technically
10. Ocampor four
Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
PIGA KURA YAKO.
Barafu ndiye anastahili tuzo na sio hao wajinga aliowaandika.. Lakini kama pesa anatoa yeye wacha afanye atakavyo na tusishangae Lizaboni akashindakama hujamuweka mshana Jr na barafu hiyo tuzo yenu kapeaneni kimya kimya