Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
mshana jr alipaswa kuwepo pia. He is one of the best ambae unaweza kumsoma na kumuelewa.

Lizaboni angechukuwa nishani kwa kuwa the most hated

Faiza Foxy zaidi ya kurekebisha spelling za watu sijawahi ona mchango wake.

The Boss is quite good naweza mpa kura yangu.
Kwel hata mi the boss mana nikiona tu comment yake hua nasoma yote coz kuna kitu napata kwake
 
Kuwaweka Faiza Foxy na Lizabon ambao wamelalamikiwa na wanajamvi mara nyingi sio sahihi hata kidogo. Tena kumwacha Mshana Jr kumenishangaza sana. List imeandikwa na yule Jecha au?
 
Hcho kigezo kilichotumika kuwapa hao .
 
Kuwaweka Faiza Foxy na Lizabon ambao wamelalamikiwa na wanajamvi mara nyingi sio sahihi hata kidogo. Tena kumwacha Mshana Jr kumenishangaza sana. List imeandikwa na yule Jecha au?
Hakuna hata mmoja wa maana hapo.. Weka barafu wengine wote ni wafia chama either cdm au ccm.. Kisogo Pasco na Mwanakijiji ndio wanastahili..
mnazungumziaje uwepo wangu kwenye hizi tuzo?
 
@ Miss natafuta wangu una zero.
Ngoja nikupigie uwe hata na kamoja
 
Ninachoona hapo mimi...

Wa ccm watampigia aliyekuwa nasupport ccm

Wa chadema atampigia kura aliyesupport chadema..

Wa cuf hivyo hivyo naye.....

The story goes on...!

Manake hiyo list wengi wako biased kabisa...

Hii list siyo..
 
Kura yangu nampa mkuu @pasco kwa kweli kwa mwaka huu anastahili kupewa.
 
Huyo namba mbili pamoja na kuchangia sana ila post zake zamlengo wa kidini na kichamaaa...zaidi!
 
Habari zenu wakubwa,

Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.

Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.

Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata...
1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.

Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi.
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. victorie
9. Technically
10. Ocampor four

Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa

PIGA KURA YAKO.
Orodha yako yenyewe tu kichefuchefu. Kama na udini ni disqualification Bi Mkubwa anafuata nini kwenye list?
 
Hata mimi sipo hapa. Nina Meseji 1000 Like 700 na Liked 300 zote za mwaka huu. Nipo Online 24/7. Vigezo gani vimetumika?
 
kama hujamuweka mshana Jr na barafu hiyo tuzo yenu kapeaneni kimya kimya
Barafu ndiye anastahili tuzo na sio hao wajinga aliowaandika.. Lakini kama pesa anatoa yeye wacha afanye atakavyo na tusishangae Lizaboni akashinda
 
Back
Top Bottom