Ni nani anawajibu wa kuingilia kati katika nchi pindi mambo yanapokwenda mlama?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state",

1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki,

2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka,

3. Viongozi wanakula kwa urefu kwa kamba zao,

4. Chaguzi zinafanyiwa figisu na uhuni waziwazi huku bado wakijisifu wameshinda.

5. Watu wanaleta uchochezi mkubwa kabisa wa dini, wazi wazi, jambo ambalo ni hatari sana kwa taifa.

Sasa katika hali kama hii, ni nani anapwaswa kuingilia kati kuliponya taifa? Mana viongozi walioko ni kama wako tayari kufanya lolote hata kuliingiza taifa katika machafuko.

Who is servior in this situation?
 
wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state",
1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki,
2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka,
3. viongozi wanakula kwa urefu kwa kamba zao,
4. Chaguzi zinafanyiwa figisu na uhuni waziwazi huku bado wakijisifu wameshinda.
5. Watu wanaleta uchochezi mkubwa kabisa wa dini, wazi wazi, jambo ambalo ni hatari sana kwa taifa.

Sasa katika hali kama hii, ni nani anapwaswa kuingilia kati kuliponya taifa? Mana viongozi walioko ni kama wako tayari kufanya lolote hata kuliingiza taifa katika machafuko.

Who is servior in this situation?
Katiba. Tatizo katiba ya TZ ni yakindwazi raisi yupo juu ya mamlaka hapangiwi na yeyote
 
Back
Top Bottom