chiba89
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 424
- 196
haha labda huwa haviambiliki mkuu vikishaonja hayo maisha ma selfieHivi hivi vibinti vinavyofanya hivi havina wazazi,
Ndugu, wajomba, shangazi n.k?
Na huwa wanawachukuliaje hawa mabint wa aina hii...
Yaani sipati picha familia zao wataleaje...
Ukweli ni kuwa hata wakiolewa hawadumu, huachika mara nyingi sana na huolewa hata bila kubariki ndoa!!