Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Hivi hivi vibinti vinavyofanya hivi havina wazazi,
Ndugu, wajomba, shangazi n.k?
Na huwa wanawachukuliaje hawa mabint wa aina hii...
Yaani sipati picha familia zao wataleaje...
Ukweli ni kuwa hata wakiolewa hawadumu, huachika mara nyingi sana na huolewa hata bila kubariki ndoa!!
haha labda huwa haviambiliki mkuu vikishaonja hayo maisha ma selfie
 
Tubaki kujadili tu maana imeandikwa "Wanawake wazuri na warembo wataendelea kuwa shemeji zetu" hii inapatikana katika kitabu cha wanaume wa dar agano jipya : Hakunaga ushemeji 12:3.
 
Uyu kalazimisha ususupastaa wachee watu watumie ikifikia hatua kuwa ndala au marinda kuchoka hatakuwa anajiangalia alivyotumika
 
Back
Top Bottom