Ni nani anayemtumia Habib Mchange kulivuruga Kanisa?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.

Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.

Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.

Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.

Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
 
Huyo alikimbilia CCM akijua atapewa uDC au Ubunge cha ajabu kwa zaidi ya miaka 10 sasa amepuuzwa tu na CCM ndio maana anataka kujitafuta awamu hii apewe uteuzi.

Na pengine hata hajatumwa ila amejiundia tu project ili apewe teuzi maana nchi hii kujikomba ni kwingi sana.

Ni mmoja kati ya watu useless sana, tokea akiwa chadema alikua liability tu ndio maana CCM hawajahangaika naye.
 
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.

Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.

Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.

Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.

Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Kijan mmoja hivi anaetumiwa na wale wale kutoa watu kwenye mstari na kusawazisha upande mmoja
 
Umejuaje sio Wakatoliki walio serikalini wanaotaka kuwapooza maaskofu ili waendelee kufaidi udhalimu bila kelele??
 
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.

Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.

Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.

Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.

Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Sijui makanisa mengine ila Katoliki hawawezi kulivuruga...
 
IMG_0830.jpeg
 
Haihitaji rocket science kujua kuwa ni Samia na mwanawe Abdul ndiyo wanamlipa huyu mpuuzi kushambulia Ukristo
 
Kama amepitia mikono ya Zitto kisiasa,unafikiri sikuwa chawa tu?
 
Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.

Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.

Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.

Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.

Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Mchange ni nani? nasikia jina lake linatajwa sana kwenye madaladada na vijiwe vya kahawa
 
Back
Top Bottom