Kijan mmoja hivi anaetumiwa na wale wale kutoa watu kwenye mstari na kusawazisha upande mmojaHabib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.
Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.
Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.
Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.
Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Sijui makanisa mengine ila Katoliki hawawezi kulivuruga...Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.
Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.
Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.
Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.
Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Haihitaji rocket science kujua kuwa ni Samia na mwanawe Abdul ndiyo wanamlipa huyu mpuuzi kushambulia UkristoHabib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.
Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa, Mchange amekuwa akitumia gharama kubwa kuwapa waandishi wa habari hususan wa Online Tv kurusha live mikutano hiyo inayolenga kuwavuruga viongozi wa dini ya Kikristo.
Sasa Mchange anaendesha project ya kuwatafuta waumini wa Dini ya Kikristo na kutoa matamshi ya kuwashambulia viongozi wa Kanisa kwa malengo na biashara binafsi.
Kwanini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama vinanyamazia hizi kazi anazofanya Mchange ambaye ni muislamu kutengeneza mipango ya kuwakashifu viongozi wa dini ya kikristo.
Je wakristo nao wakiamua kutoka kupambana na Habab Mchange tutakuwa na nchi kweli?
Mchange ni nani? nasikia jina lake linatajwa sana kwenye madaladada na vijiwe vya kahawaHabib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania.