Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hilo la kuchotwa lisitokee kabisa maana itakuwa kilio kikubwaHaha nimewahi kuwaza na kuogopa hilo. Maana thithiem hawatabiriki. Maana nami nimewekeza huko muda mrefu tu. Napata gawio bila shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la kuchotwa lisitokee kabisa maana itakuwa kilio kikubwaHaha nimewahi kuwaza na kuogopa hilo. Maana thithiem hawatabiriki. Maana nami nimewekeza huko muda mrefu tu. Napata gawio bila shida.
Historia ya UTT AMIS ilianza kutoka Umoja wa Dhamana ya Tanzania (UTT). UTT ilianzishwa chini ya Sheria ya Ushirikishwaji wa Wadhamini, Sura ya 318 na ilikabidhiwa shughuli kadhaa muhimu ikiwa ni pamoja na kutengeneza miradi ya uwekezaji wa pamoja; kupata na kuweka katika uaminifu hisa za biashara zilizobinafsishwa na kuhimiza utamaduni wa kuweka akiba kupitia ushiriki mpana katika umiliki wa hisa/vitengo vilivyosambazwa. UTT ilifanikiwa sana katika kuzindua mifumo ya kitengo cha uaminifu tangu mifumo mitano ya uwekezaji wa pamoja ilipozinduliwa na kuvutia wawekezaji zaidi ya 90,000 kutoka kote nchini.Ushahidi
Tum kon ho aap kon hainUnamaanisha Nyonzo bin mvule ?
Kwani kuna aliye kulazimisha kuweka hela zako huko, unafikiri kuna Mama ako humu wa kumdekeaNaomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
DuhWEKEZA UTT ILA KUTOA PESA HIYO UTAKOMA LEO MWEZI SIJAONA CHOCHOTE.KWA KUPOKEA SIMU NI WAGUMU.
UTT NI MR KUKU PRO MAX
nilikuaga najua verified users ni vichwa kinyama 😁😁shida yako nini hasa bwana mdogo?
Sasa wakiamua si wanaweza hata ku freeze account zenu benk wakajichotea pesa.Mara paap utasikia zimechotwa na kufanyiwa mambo mengine kama mifuko ya hifadhi ya jamii inavyochotwaga[emoji2]
Wazee wa NICONafkiri felix Mosha:Reginald Mengi ,Mzee Anold Kilewo na Wengineo
Tajiri mmoja anautajiri wa trillion 1.kitu dollar million 600Temba ni nani
Meno la kwanza limeandikwa kisomi sana, sijalielewaHioondioositakikusikia kabisa ndugu
Yan umeshindwa hata kwenda kwenye website yao na kusoma taarifa hiyo....Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
There is no better answerNi mfuko wa UWEKEZAJI WA PAMOJA ulionzishwa na Serikali kwa ajili ya kuwezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.
.
Mfuko huu unawapa fursa wale wote ambao aidha wana pesa kidogo hivyo kushindwa kuwekeza kwenye soko la hisa, au kwenye dhamana za serikali za muda mfupi na mrefu (Treasury Bills & Bonds) au BASI TU hawana uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya uwekezaji nao wapate mahali ambapo wataziweka fedha zao.
Hiyo 60m gawio la miezi 6 ni kama 12% Kwa mwaka, ni pesa nyingi sana kwenye investments, Kwa nchi zilizoendelea hiyo ni super profit, Kwa faida hiyo ukifanya re investment hiyo billion Moja itakuwa zaidi ya billion mbili (double) in 5 years, sio faida ndogo hiyo Labda kama unataka pesa za kamariNimefuatilia sana hao UTT AMIS wanatoa faida ndogo sana , hata ukiwekeza huko ni kama umezitupa tu fedha zako , Kwa mtaji wa billion Moja utapokea gawio la milioni 60 Kwa MIEZI 6! Sasa ukiweka milioni Moja utapata Nini?