Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Amemtukana tusi gani, mbone nimepitwa namna hiyoHotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu...
πHotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu....
Asanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.Habari boss Mkuu,
Napenda kukupa taarifa kuwa Sisi Wananchi wote kwa pamoja tukiongozwa na Viongozi wetu Wakuu Chini ya Rais Shupavu tumeridhia kwa kauli moja kukupatia wewe Boss la DP World Bandari zetu zote kuanzia ya Mtwara, Tanga, DSM, Mbaba bay, hadi zile za Nchi Kavu Pamoja na zote za Maziwa Makuu mziendeshe hata baada ya Miaka 100 π€ͺ
Boss kumbe naee una majungu?π π πHabari boss Mkuu,
Napenda kukupa taarifa kuwa Sisi Wananchi wote kwa pamoja tukiongozwa na Viongozi wetu Wakuu Chini ya Rais Shupavu tumeridhia kwa kauli moja kukupatia wewe Boss la DP World Bandari zetu zote kuanzia ya Mtwara, Tanga, DSM, Mbaba bay, hadi zile za Nchi Kavu Pamoja na zote za Maziwa Makuu mziendeshe hata baada ya Miaka 100 π€ͺ
Hapo utakuwa umetupatia Mkubwa, sote tumekuwa wapenzi wakubwa wa Tende zenu za Dubai π€ͺππAsanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
Hahaha.......sisi Wazee Umri umeshasonga, hatuna mpango wa kutoboa 2040 kwahiyo bora hizo bandari tumpe Boss la DP World aziendeshe kuliko kuwaachia nyinyi Vijana π€ͺππBoss kumbe naqe una majungu?π π π
Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zileHotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Ng'ombeLisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile
Ajatukanwa bwana msiwe wanafiki mnajua alichokifanya,uwezi kuja Tanganyika ukauza mali zetu kisa rais aiwezekani kabisa eti shamba la bibi. Kauze pemba.Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Wallah huna malezi mazuri wewe Hata mafundisho ya dini haukuyafuatilia udogoni.ππππππππππππππππAsanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
Akili matope ni tusi? Hata Magufuli alisema kuna mikataba ambayo anaye saini ni Kichaa, Lissu akatumia busara ya kupunguza ukali wa maneno.Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile