Ni nani huyo asiye na adabu aliyemtukana Rais wetu?

Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.

Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.

Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Mwizi akiitwa mwizi atasema ametukanwa!
 
Tatizo kila neno mnaweza kulibadilisha na kusema ni tusi. Tuweke hayo matusi hapa tuyajadili!. Vilevile utueleze kama kisheria ni matusi au la.

Fisadi, msaliti, mzanzibari, matapeli, wanyonyaji, wezi..... haya ni matusi au
 
Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.

Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Mwizi anatuibia analishwa kwa kodi zetu asikosolewa ,si atoke huko kww ofis za umma sasa
 
Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.

Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Umetumia lugha ya kejeli yenye unafiki ndani yake.
 
Back
Top Bottom