Nakazia ni matope utauzaje Tanganyika bado wewe na ukoo mtauzwa tu labda uwe muarabu utanusurika.Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile
Nadhani ilikuwa ni "NON-SENSE"!Kuna kipindi tena kwenye mwezi mtukufu, nilisikia kiongozi fulani akiwatukana watu eti stupid,uenda wanawaiga wao.
Atakuwa hana akili huyo.Nadhani ilikuwa ni "NON-SENSE"!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Mwizi akiitwa mwizi atasema ametukanwa!Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Usisahau kutuletea na makazu ya kufungia mabusha.Asanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
Hapana boss ndomaana namtafuta huyo mtukanajiMwizi akiitwa mwizi atasema ametukana!
Na jibu lake huwa ..."si mimi,wananisingizia"...!Mwizi akiitwa mwizi atasema ametukanwa!
Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Mwizi anatuibia analishwa kwa kodi zetu asikosolewa ,si atoke huko kww ofis za umma sasaHotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
MashAllah!!!Asanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
Awe mkweli.Hicho kionambali/kionamwezi ataleta kimoja tu au vitakuwa chekwa ili wote tujidai?MashAllah!!!
Teh teh teh hapo utawasuuza roho wakina FaizaFoxy THE BIG SHOW Ritz na The BossAsanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
Umetumia lugha ya kejeli yenye unafiki ndani yake.Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.
Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?
Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.
Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.
Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Kabisa, zile sifa za kijinga zimewalemaza kiasi kwamba wakipewa ukweli mchungu huuita matusi.Kwa CCM kuambiwa ukweli ni kutukana. Always wanataka wasifiwe na kila mtu kama wanavyosifiana kinafiki kwenye chama lao.
Itabidi tuendelee kuselfika hukuhuku siasani.Mambo ya siasa [emoji119]!