Ni nani huyo asiye na adabu aliyemtukana Rais wetu?

Nay wa mitego
 
Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile
Tuonyeshe tusi hapo!
 
Mama kajaa upepo hatari,asiyachukulie mashambulizi ya kisiasa personally atakufa mapema kama MagufuliπŸ˜πŸ€”.Aongoze kwa haki na atakalia kiti cha urais kwa amani kabisa maana watanganyika watampa mahaba yote.
 
Tuna vingozi walafi,wabinafsi,matapeli na wenye uchu wa madaraka,viongozi wasiojali maslai ya nchi..ni viongozi ambao wanaiachia nchi hii dosari ambazo haziwezi kusahaulika milele..

Wacha waendelee kuwa na kinga ya milele.
 
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑

[emoji15]
 
Tuna vingozi walafi,wabinafsi,matapeli na wenye uchu wa madaraka,viongozi wasiojali maslai ya nchi..ni viongozi ambao wanaiachia nchi hii dosari ambazo haziwezi kusahaulika milele..

Wacha waendelee kuwa na kinga ya milele.
Baadae wakishazeeka ndio wanajiandikisha tuvijarida wanaviita Vitabu vya majuto
 
CDM ni watu wa ajabu sana wapiga kura tumetulia zetu kimya tunasubiri 2025 tumpe mama yetu ushindi wa kishindo wao kutwa kutoa matusi na vitisho.

Inshallah,2025 watajua hawajui mmbwa hawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…