Ni nani huyu Irene Robert?

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Wasalaam!

Jumapili tulivu kabisa, nime "tune" Wasafi TV , kumcheki ndugu yangu masanja kwenye Wasafi Sunday worship, nakutana na "Pisi" moja kaliii sanaaa! tena yenye mzigo heavy heavy, naona ndugu yangu masanja concentration imepotea, macho yote yanamsaminisha huyu binti mkali.

Nifupishe tu uzi ,kilichonishangaza zaidi ni baada ya masanja kuanza kumuuliza maswali personal huyu binti....

"Husumbuliwi"?? , Una mchumba/umeolewa?

Unfortunately hii pisi iliyobarikiwa sauti tamu sanaaa inadai haina mahusiano, na hana mpango wa kuwa kwenye mahusiano kabisa 😱,

Bado nimebaki najiuliza hivi huko kanisani kwelii kuna wanaume wenye macho yanayoona???

Mwenye taarifa zaidi za huyu binti (Irene Robert) ebu tusaidiane wakuu, nikipata hata picha zake itapendeza sanaa. Pia naomba kujua lilipo kanisa la mume wake christina shusho naambiwa huwa anahudumu hapo.

Hii pisi imenisisimua sana moyo wangu jumapili ya Leo.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Uzi wa majigambo na uliojaa sifa hivi bila picha ni sawa sawa na kukengeuka

πŸ˜… Sasa ulitaka nipige picha TV mkuu? Nasubiria wadau wanaomjua labda wataleta picha Zake hapa.
Kipangaspecial

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nenda kwenye page ya instagram ya wasafitv wameshamtag
 
Hiyo picha niliyoiona na hiyo shape anafanana kimtindo na demu mmoja street anaitwa Mwanahamisi isipokua Mwanahamisi anafanya kazi supermarket posta na hana umaarufu.

Mwanahamisi kamzidi huyu tako huyu kamzidi Mwanahamisi urefu.
 
Wakuu mnahatari kinoma...

Hadi size ya tako ushapima. [emoji16][emoji16]
 
Mtoa mada umependa shape au sura?

Au mguu shekh! Au nywele za rangi rangi?
Aisee ni hiyo shape mzee wangu heavy heavy!

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nenda kwenye page ya instagram ya wasafitv wameshamtag

Nishamcheki chief, next Sunday lazima nimfuate kwa shusho huyu πŸ˜‹

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Hiyo picha niliyoiona na hiyo shape anafanana kimtindo na demu mmoja street anaitwa Mwanahamisi isipokua Mwanahamisi anafanya kazi supermarket posta na hana umaarufu.

Mwanahamisi kamzidi huyu tako huyu kamzidi Mwanahamisi urefu.
posta supermarket nyingi mkuu, nataka niende nikamsalime Mwanahamis naomba unielekezeπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…