Ni nani huyu Irene Robert?

Ni nani huyu Irene Robert?

Mkuu huyo ndo Pisi kali kiasi ukamfungulia uzi?

Ama ukweli uzuri wa kitu upo machoni kwa anayekipenda.
Eewaaaaa! Hii shape tamu sanaa. Ubarikiwe sana mkuu.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
 
Nishatupa kule huyo ninamkasa mwengine!.. ngoja nipone kisogo nitakileta..๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila we kwa Mikasa tu hujambo..na Bora wanavyokufundisha adabu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila we kwa Mikasa tu hujambo..na Bora wanavyokufundisha adabu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Huko sio kufundishwa adabu ni kupitia Mambo mbalimbali
 
Huko sio kufundishwa adabu ni kupitia Mambo mbalimbali
Kufundishwa adabu hukooo..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ona unavyojiona mwamba..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ukaumbuke tu.. mwenyewe patupu
Haya Sasa kwisha habari yangu!.. naenda kuumbuka nilimdanganya nina PhD kumbe la Saba D!
Tena ubovu anataka ile ya kuchati kwa video namkwepa lkn Toto Toto kweli aisee ntahakiki nakwenda hata kwa mganga!
 
Back
Top Bottom