Ni nani huyu Irene Robert?

JF imeingiliwa sana hadi inakera yaani mtu mwingine hata akitaka kwenda chooni kukata gogo atakuja JF kuomba ushauri achuchumae vipi

Mzee apart from this thread una tatizo lolote? Why you take things so personally...you don't know me, idk you man...why all these? 😂😂😂....chill sio kila kila kitu cha kuchukulia serious, alafu kabla hujaongea kitu fanya kidogo research.....am not stranger here 😅😅😅 lol.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Unazingua ungesubiri upate picha ndiyo ufungue uzi

Man! Tunaanza kupangiana na Maisha tena 😂😂, you guys are so funny daah! 😅😅


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
tafuta pesa...utaendelea kuwafungulia thread hadi uchoke wengine wenye pesa watakula.
 
tafuta pesa...utaendelea kuwafungulia thread hadi uchoke wengine wenye pesa watakula.

😂😂 Haha haya maisha raha sana, unaweza kuta unatoa ushauri huu na hujui unakula hata nini mchana huu. 😂😂😂


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Kwahiyo unataka kuniambia ukishamfahamu utamshawishi umuoe au?
 
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu nimeamini,yani CV ulizoshusha za huyo manzi huku kichwani nikawa

natengeneza picha jinsi atakavyokua,nashuka chini kwenye comment nakutana na picha ya muhusika

asee mkuu nimejikuta nimebenua tu mdomo,nisiwe hata na la kusema Duniani hamna m'baya asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…