Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Huyo nimemuattach picha yake kufuta hiyo dhana kuwa ni mzungu. Mengine watakuja kujazia wajuvi wa mambo.
du. nilikuwa sijui.Huyo nimemuattach picha yake kufuta hiyo dhana kuwa ni mzungu. Mengine watakuja kujazia wajuvi wa mambo.
Pasco fanya hima hapa!!
Mambo mengine, una google tu!,Cc Pasco
Mambo mengine, una google tu!,
All and all, best wangu Abou Liongo, alikuwa DW, nitawaulizia na kuwajuza!.
Thanks.
Pasco
I like it most especially coming from a mlima guy.Huyu mama tangu mie nipo Primary hadi leo na ninamtoto anaingia form 1.
Yaani anatakangaza vizuri ile mbya,utapenda kumsikiliza.
Hasaa anapovuta ile kutoka mjini Bonnee.
Nahisi ni mtu wa Mombasa
Umeweka picha ya 1990. Tuwekee ya karibuni kama unayo.Huyo nimemuattach picha yake kufuta hiyo dhana kuwa ni mzungu. Mengine watakuja kujazia wajuvi wa mambo.
Ni mkomoro thts all iknw about her..
namkuli sana