Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Tangia nazaliwa huwa namsiikia huyu mama, raha sana kusikiliza akiwa anatangaza hasa kwa ile style yake.

NB. JIna lake ni Umurkheir Hamidou.
 
Ningependa kujua machache juu ya huyu mwanamama wa miaka dahali kwenye fani ya habari, miaka nenda rudi nimemsikia akifanya sanaa zake kwenye spika za redio,ni nani huyu? Anatoka nchi gani? Na je ni kweli ni mtasha kama ambavyo watu wanakariri!?

Tusemezane hapa wandugu!.

kwa kweli nampenda sana mama huyu,ni mtangazaji mzuri saaaana.
 
Acha kukuza mambo. Wewe wakati unazaliwa tayari unao uwezo wa kusikiliza redio na kuelewa, teh!teh! Wewe si wa kwaida

Du watu wafukunyuzi wa mambo hum ndani ni hatari.
Mkuu kumradhi hapo nikikusudia kumaanisha kwamba "tangia nimeanza kuwa na ufahamu wa kusiliza radio" enzi hizo ni 93's. Hope sijakosea sana.
 
Ningependa kujua machache juu ya huyu mwanamama wa miaka dahali kwenye fani ya habari, miaka nenda rudi nimemsikia akifanya sanaa zake kwenye spika za redio,ni nani huyu? Anatoka nchi gani? Na je ni kweli ni mtasha kama ambavyo watu wanakariri!?

Tusemezane hapa wandugu!.

kuna yule jamaa wa tbc Suleiman Mkufya nae ana iga swaga za huyu mama Oumilkheir.
 
Wilson Jay
ana umri gani na ni raia wa nchi gani?
maana ana lafudhi ya kijerumani! Majibu
tafadhali@ DW...
Like · Thursday at 11:01am
DW (Kiswahili)
Anatokea Comoro
Like · 3 · Thursday at 4:15pm
 
Sifa kubwa ya mama anavuta mno sigara pia mpenda kitu ugoro!!! Ni mngazija wa Comoron, kakulia Zenji kisha mombasa na kuelekea ughaibuni mengine kama walivyoeleza wengine!
 
attachment.php
 
Hata TBC 1 kuna watangazaji wazuri na wakongwe kama huyu Mama!!!
 
Du watu wafukunyuzi wa mambo hum ndani ni hatari.
Mkuu kumradhi hapo nikikusudia kumaanisha kwamba "tangia nimeanza kuwa na ufahamu wa kusiliza radio" enzi hizo ni 93's. Hope sijakosea sana.
ndio hawa hawa wanawadanganya wenzao wanawaona kwenye glass
 
Back
Top Bottom