Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kuna mwingine anaitwa sekioni kitojo ni wa kitambo gani? Salehe mwanamilongo ? Othman miraji ndani ya meza ya duara je..?Habari wana jf, mi naomba kujuzwa historia, elimu, uraia wa mtangazaji huyo wa siku nyingi dochovel German, huwa ana nivutia sana sauti yake na nimeanza kumsikia siku nyingi sana akitangaza tangu niko primary 88th early hadi sana, ahsanteni.
Ok huyu hapa ndio mama wa utangazaji ummy oumilkheir hamidu