String Theory
Senior Member
- Jan 23, 2014
- 155
- 63
Acha kukuza mambo. Wewe wakati unazaliwa tayari unao uwezo wa kusikiliza redio na kuelewa, teh!teh! Wewe si wa kwaidaTangia nazaliwa huwa namsiikia huyu mama, raha sana kusikiliza akiwa anatangaza hasa kwa ile style yake.
NB. JIna lake ni Umurkheir Hamidou.
Umeweka picha ya 1990. Tuwekee ya karibuni kama unayo.
Ningependa kujua machache juu ya huyu mwanamama wa miaka dahali kwenye fani ya habari, miaka nenda rudi nimemsikia akifanya sanaa zake kwenye spika za redio,ni nani huyu? Anatoka nchi gani? Na je ni kweli ni mtasha kama ambavyo watu wanakariri!?
Tusemezane hapa wandugu!.
Tangia nazaliwa huwa namsiikia huyu mama, raha sana kusikiliza akiwa anatangaza hasa kwa ile style yake.
NB. JIna lake ni Umurkheir Hamidou.
Acha kukuza mambo. Wewe wakati unazaliwa tayari unao uwezo wa kusikiliza redio na kuelewa, teh!teh! Wewe si wa kwaida
Ningependa kujua machache juu ya huyu mwanamama wa miaka dahali kwenye fani ya habari, miaka nenda rudi nimemsikia akifanya sanaa zake kwenye spika za redio,ni nani huyu? Anatoka nchi gani? Na je ni kweli ni mtasha kama ambavyo watu wanakariri!?
Tusemezane hapa wandugu!.
I like it most especially coming from a mlima guy.
ndio hawa hawa wanawadanganya wenzao wanawaona kwenye glassDu watu wafukunyuzi wa mambo hum ndani ni hatari.
Mkuu kumradhi hapo nikikusudia kumaanisha kwamba "tangia nimeanza kuwa na ufahamu wa kusiliza radio" enzi hizo ni 93's. Hope sijakosea sana.