Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

Habari wana jf, mi naomba kujuzwa historia, elimu, uraia wa mtangazaji huyo wa siku nyingi dochovel German, huwa ana nivutia sana sauti yake na nimeanza kumsikia siku nyingi sana akitangaza tangu niko primary 88th early hadi sana, ahsanteni.
Kuna mwingine anaitwa sekioni kitojo ni wa kitambo gani? Salehe mwanamilongo ? Othman miraji ndani ya meza ya duara je..?
Ok huyu hapa ndio mama wa utangazaji ummy oumilkheir hamidu
 
Attachments

  • image.jpg
    67 KB · Views: 895
Kuna mwingine anaitwa sekioni kitojo ni wa kitambo gani? Salehe mwanamilongo ? Othman miraji ndani ya meza ya duara je..?
Ok huyu hapa ndio mama wa utangazaji ummy oumilkheir hamidu

Asante kamanda kwa picha ya huyu mama nimefurahi sana kuona picha yake
 
Matangazaji wakoooo ni uuumunnni kheiryyyyyyyy....Ghazaaaa...waandamanajiii wa kipalestinaaa wamemwagika majiani kupiga kadhia ya mabomu yanayoporomoshwa kutoka israeliiii... Wakati huuo huoooo kundi la kigaidi la twalibaaaani limefanya shambiliziii la kujitoa muhangaaa huko kabuuurouuuu..Fuko la fedha la dunia limesitisha msaadaaa wake katika kuokoa uchumii wa uturukiii unaolekea shimoniiii... Hizi ni habari za mchana kutoka aaa boooooniiiiiii
 
Safi sana,sikuwahi kujua kama ni mwanamke!
 
Namkubali sana huyu mama na ninaposiki report yoyote akisoma yeye bac huacha kila kitu ili nimckie vema kama yeye mwemnyewe anavyoitamka,Tangu enzi ya band moja radio ya mkulima niko kwenye kahawa nimeivaa shingoni,DW saba mchana,mama ni mahiri sana

Wakati huo hii DW (Deutsche Welle) ikiwa Ujerumani Magharibi kabla ya muungano wao na Ujerumani Mashariki (kama sijakosea mahali).
 
Mkomoro lakini amakulia zanzibarrrrrrrrrrrr....na amefanya kaziiii DW pale boooooooooooooooonnnnn kwa miaka 30 sasa...na jina lake kwa ufasahaaaaa ni Umukheyir Hamidouuuuuuu
Ameolewa?
 
Kuna mwingine anaitwa sekioni kitojo ni wa kitambo gani? Salehe mwanamilongo ? Othman miraji ndani ya meza ya duara je..?
Ok huyu hapa ndio mama wa utangazaji ummy oumilkheir hamidu

Hivi hii Tshirt ya Michuzi ni ya uganga au kuna siri gani iliyojificha juu ya Tshirt hii?
 
Akina sudi mnete, walo ingia hivi karibuni dochovel, watakuwa ni wajukuu kwake. Lkn bado mbichi jamani umul kheir.
 
Duh, umenivunja mbavu mkuu. Kwa kweli mi naona huyu mama ni mtangazaji wa kipekee katika voice attract.
 
Hivi hii Tshirt ya Michuzi ni ya uganga au kuna siri gani iliyojificha juu ya Tshirt hii?
Shangaa na ww, nishamuona mara kibao na hii Tshirt labda ni uniform yake ya kazi.
 
Shangaa na ww, nishamuona mara kibao na hii Tshirt labda ni uniform yake ya kazi.

Hapana kuna kitu kimejificha hapa, ngoja tuwaulize wambea kama warumi huenda ana umbea wa hii kitu
 
Last edited by a moderator:

umriheri ni mweusi toka Mombasa Kenya na sekioni kitojo ni mbongo alitokea radio Tanzania katikati ya miaka ya tisini enzi za kusikiliza redio kwa mwenyekiti Wa kijiji,kamanda Wa sungusungu au kwa mwalim mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…