Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Siyo katibu binafsi bali ni Katibu Ofisi Binafsi ya Rais (OBR).
Kiitifaki hiyu hatakiwi kuonekana sana. Nadhsni katibu mkuu kiongozi ni mtu mkubwa zaidi ikulu.
 
Tatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
 
Tatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
Uko sahihi jamaa yuko mbele mbele sana hii ipo siku itamtafuna tu, Nchi hii kuna watu wanaweka mambo moyoni siku ukiteleza tu hakuna rangi utaacha kuona
 
Tatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
Ni staa wa shoo sababu ana ruhusa kuwa star wa shoo kutoka kwa SSH. Otherwise angeambiwa afanye kazi kama watangulizi wake.
 
Wakuu habari za majukumu.

Mimi leo naomba kufahamishwa tu jambo moja kuhusiana na huyo jamaa mwenye miwani hapo mabele ya Raisi wetu. Ni nani haswa kwenye hii inchi?

Nimekua nikimfuatilia sana kwa jinsi anavyojiweka na kuonenekana ( ni kama vile ana wadhifa mkubwa sana na nguvu pia kwenye hii inchi).

Who is he exactly?

Katika uongozi wa awamu ya sita, kuna cheo na kitengo kipya kinaitwa "Chawa". Sasa huyu ndo mkuuu wa "chawa"
 
wakuu namimi naomba kujua huyu ni nani maana huwa namuona sana , ni lead wa security detail au ni nani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…