Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Fridge Mpeche Mpeche
Lucas fridge lake haligandisFridays
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas fridge lake haligandisFridays
Iwe ajira au biashara vyote huwa ni kufuata(kusaka) pesa, kama kapata tobo la kuvuna pesa it's well and good.Tanzania imelaaniwa, hapo amevaa kofia yenye picha ya Rais na kuonyesha anamkubali kumbe kafuata pesa
Ni WA Bara ama wa pwani?? Lkn kwa kumtizama ni mtu asiekuwa na wenge, hana makeke. Ana hekma. Kuna siku nilimwona anamwambia mama abebe katoto hospital kule umbuluni, nikadhihirisha utu wake
Kweli kabisa mkuuIwe ajira au biashara vyote huwa ni kufuata(kusaka) pesa, kama kapata tobo la kuvuna pesa it's well and good.
Siyo katibu binafsi bali ni Katibu Ofisi Binafsi ya Rais (OBR).Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.
Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali.
Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia credit ziende kwa huyu mwamba na akiskosea pia ni hivyohivyo.
Kwasasa viongozi wengi hasa wabunge wamekuwa wakimpost huyu jamaa kupitia mitandao yao ya kijamii ili tu kuweka mazingira yao ya kisiasa vizuri.
Mwenye CV anaweza kuleta ili tunjue kwa undani.
View attachment 2909032View attachment 2909033View attachment 2909034
Uko sahihi jamaa yuko mbele mbele sana hii ipo siku itamtafuna tu, Nchi hii kuna watu wanaweka mambo moyoni siku ukiteleza tu hakuna rangi utaacha kuonaTatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
Ni staa wa shoo sababu ana ruhusa kuwa star wa shoo kutoka kwa SSH. Otherwise angeambiwa afanye kazi kama watangulizi wake.Tatizo lake jamaa ana taka kuwa star wa shoo... angebakia kuwa underground... sasa anavyozidi kuwa kwenye spotlight ndio anazidi kujiharibia... a brotherly advice
Kapata Tobo La Kuvuna PesaIwe ajira au biashara vyote huwa ni kufuata(kusaka) pesa, kama kapata tobo la kuvuna pesa it's well and good.
Ni utapeli tupuIwe ajira au biashara vyote huwa ni kufuata(kusaka) pesa, kama kapata tobo la kuvuna pesa it's well and good.
Katika uongozi wa awamu ya sita, kuna cheo na kitengo kipya kinaitwa "Chawa". Sasa huyu ndo mkuuu wa "chawa"Wakuu habari za majukumu.
Mimi leo naomba kufahamishwa tu jambo moja kuhusiana na huyo jamaa mwenye miwani hapo mabele ya Raisi wetu. Ni nani haswa kwenye hii inchi?
Nimekua nikimfuatilia sana kwa jinsi anavyojiweka na kuonenekana ( ni kama vile ana wadhifa mkubwa sana na nguvu pia kwenye hii inchi).
Who is he exactly?
Oooh sikuwahi kukisikia hiki cheo wala kujua kama kipo hapa TZ. Inaonekana ni cheo kikubwa sana kuliko hata cheo cha makamu wa raisiHuyo ni katibu wa Rais! Una swali lingine?