Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

Niliamua kumtambulisha kwa sababu, watu wakidhani ni Riziwani ndie mmiliki wa mabasi hayo na bado mpaka hivi sasa sijajua ni kwanini munasema Riziwan??? Hilo bado ni swali langu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
He msije mka WA SHENGENA WATU twawajuwa warabu wa tanga hamkawii kubadilisha majina ya magari yenu
 
Kuna upotishaji wa hali ya juu sana hapa. Ratco ni kampuni ya zamani kule tanga. Ila inamilikiwa kwa share kati ya Hiyo mtajwa na huyo baba wa riz
 
Niliamua kumtambulisha kwa sababu, watu wakidhani ni Riziwani ndie mmiliki wa mabasi hayo na bado mpaka hivi sasa sijajua ni kwanini munasema Riziwan??? Hilo bado ni swali langu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Baba yako ndio ana vx nyeusi kama sio grey mbele kuna bendera ya chama pendwa (ccm)

hongereni huduma zenu nzuri sana
 
Ndio Amla Gemela ndie, na asante. Na nisawa alivyosema huyo ndugu hapo juu kwamba Ratco ni Kampuni ya zamani lakini hawagawani mali, Mali hiyo ni ya mtu mmoja tu. Kuna magari mawili mapya yataingia hivi karibuni Tanzania, itakua ni 2 by 1 V.I.P.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siti 12 V.I.P itakuwa ni shilingi 35000TZS. Na siti za kawaida zipo kama 30 kama sikosei na bei yake ni kawaida ni 18000TZS. Na itakua Dar-Arusha-Tanga na Tanga-Arusha-Dar. Huduma za V.I.P ni kama ifuatavyo, punde ukiinngia tu kkwenye basi utapewa kinywaji ambacho itakua ni Juisi halafu utaletewa magazeti ambayo yatakua ni "BURE" baada ya hapo Chakula mtakachopewa ni cha kushibisha kuliko cha Normal classes. Burger na chakkula kingine itakua ni waliopanda asubuhi tu pamoja na Soda,Pizza na chips na kinywaji Soda itakua ni watakaopanda mchana. Baada ya chakula hicho mutapewa some bites (bado sijajua ni bites za aina gani). Na kwa kila siti ina Tv kama munavyoona hapo kwenye picha yangu. Full luxury!!! Mabasi hayo yatahudhuria muda simrefu kutoka China. Na kama kuna tatizo lolote nawaombeni munitaarifu ili nilitatue, nawatakia jioni njema!

Sent from my BlackBerry 9300 using Jamii-----s
 
Safi sana. Hata sitaki kujua mmiliki wake..
 
Asanteni sana. Na asiwadanganye mtu akisema ni ya Riziwani. Mchana mwema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Asanteni sana. Na asiwadanganye mtu akisema ni ya Riziwani. Mchana mwema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
naombeni muwe wa kwanza kuweka online booking, maswala ya kuzunguka vituoni kununua ticketi msala, wengine tunakaa mbali na stand kuu
 
Unaweza kuweka booking kwa njia ya simu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Fanyeni mpango mengine ya V.I.P yawe yanatokea dar kwenda mikoani. Nahamu ya kuyapanda na sina shida nani sijui nani ndo mmiliki.
 
Kweli umesomea marketing. Picha mbona haionekani?
 
mtakufa nyie si mnunue ya kwenu kama mnapenda starehe? m2 mzma unatamka et una hamu ya kupanda gar that's uncivilized kwan cha ziada n nn kwny hyo magar?
kama juice umeshndwa kununua?,tv si mnazo nyumban mpaka mkaone kwnye gar,magazet nk, wabongo mspende kujtafutia kiama.
 
Pic zikowapi mbona sizioni mimi au wenzangu mnaziona.... Hapa ssa hvi najiandaa naondoka saa 5 na huyo ratco..... Me fan wenu though sitaki jua nani ni real owner wat matters ni muweze kumaintain hiyo level ya service mnayotoa!
 
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chunga maneno yako kijana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwani ww inakuuma nn?? Au unataka uwe mwanae pia?? Lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…