Siti 12 V.I.P itakuwa ni shilingi 35000TZS. Na siti za kawaida zipo kama 30 kama sikosei na bei yake ni kawaida ni 18000TZS. Na itakua Dar-Arusha-Tanga na Tanga-Arusha-Dar. Huduma za V.I.P ni kama ifuatavyo, punde ukiinngia tu kkwenye basi utapewa kinywaji ambacho itakua ni Juisi halafu utaletewa magazeti ambayo yatakua ni "BURE" baada ya hapo Chakula mtakachopewa ni cha kushibisha kuliko cha Normal classes. Burger na chakkula kingine itakua ni waliopanda asubuhi tu pamoja na Soda,Pizza na chips na kinywaji Soda itakua ni watakaopanda mchana. Baada ya chakula hicho mutapewa some bites (bado sijajua ni bites za aina gani). Na kwa kila siti ina Tv kama munavyoona hapo kwenye picha yangu. Full luxury!!! Mabasi hayo yatahudhuria muda simrefu kutoka China. Na kama kuna tatizo lolote nawaombeni munitaarifu ili nilitatue, nawatakia jioni njema!
Sent from my BlackBerry 9300 using Jamii-----s