Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

Kwasababu watu waweze kuniuliza maswali mengi! Sio ya kikazi tu!! Umeelewa dogo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hudumia wasafiri...Na ubarikiwe, uzidishiwe, uendelee nasiye tufaidike kwa maendeleo ya kisasa. Welldone wapenda development.
 
Sisi wakazi wa Tanga tunajua kuwa Kifaranga ni mweka hazina wa CCM - Tanga mkoa na ninyi biashara yenu hasa ilikuwa ni malori lakini idea ya Mabasi ni ya Riziwani & co. Ndio maana hata siku ya ufunguzi wa kituo kile cha mafuta na mabasi Riziwani alikuja na tulipikiwa pilau na wali tukautafuna kama ufunguzi.....nlikuwepo !
 
The Fixer idea sio ya Riziwani ni ya Mzee Shabiby mmiliki wa mabasi ya shabiby na ufunguzi ni kweli alifungua Riziwani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daaah safi sana..mi sitaki kujua mmiliki ni nani wala nani ila ili gari (RATCO) nililiona ubungo ikanilazimu kwenda tanga japo sikupanga..ts a Very nice bus ever seen in tz..OMBI LANGU plsss kama wahusika mpo humu pllss n pllls nawaombeni muanzishe safar za dar -kahama pllls plls nawaombeni sana..trust me mtateka soko zima la nyanda za juu.
 
Wakuu mwaminini uyo Mtoto wa Ratco!!m nauliza hiv kwenye hii nchi hakuna matajiri wenye biashara kubwa kubwa,maana business zote kubwa na magorofa yote nchini niya Rithiwan!!!
 
mtakufa nyie si mnunue ya kwenu kama mnapenda starehe? m2 mzma unatamka et una hamu ya kupanda gar that's uncivilized kwan cha ziada n nn kwny hyo magar?
kama juice umeshndwa kununua?,tv si mnazo nyumban mpaka mkaone kwnye gar,magazet nk, wabongo mspende kujtafutia kiama.

Wewe kama huna hela waache wenzio wapande mbona kuna guest za 8,000 10,000,15,000 20,30,50 bt watu wanalala cha USD 200 wakati usingizi ni uleule. Na ndege nayo anga moja muda w kufika ni sawa lakini wengine wanapanda executive... Usiwapangie matumizi hujawasaidia kutafuta.

Watu wanataka kusafiri comfortably
 
mtakufa nyie si mnunue ya kwenu kama mnapenda starehe? m2 mzma unatamka et una hamu ya kupanda gar that's uncivilized kwan cha ziada n nn kwny hyo magar?
kama juice umeshndwa kununua?,tv si mnazo nyumban mpaka mkaone kwnye gar,magazet nk, wabongo mspende kujtafutia kiama.

Aaaaaaaanh anti hilo!!!
 
The Fixer idea sio ya Riziwani ni ya Mzee Shabiby mmiliki wa mabasi ya shabiby na ufunguzi ni kweli alifungua Riziwani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mali ya babako!!!!
Idea ya Ahmed!!!!!
Ufunguzi Rizwani!!!

Mlipozindua malori alikuja nani vile???!!Na kwa nini???!!!

Mtoto wa mwenye mali yuko Jf!!!!!
Haya mkuu hope tutachanganya na zetu!!!!!
 
Basi sawa nsaidie basi kazi kwenye moja ya gari la baba,nina leseni class C na pia certificate ya customer care.
Na mimi ni mwanae wa kwanza wa mmiliki wa mabasi haya, na jina la Ratco lilianza zamani sana kabla hayajaanzishwa mabasi hayo, kabla ya Ratco lilikuepo jina la "Masukari" baada ya jina hilo ndipo jina la Ratco kutokea. Na Ratco ilianza kwenye malori ndipo yapo mpaka kwenye mabasi!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
The Fixer idea sio ya Riziwani ni ya Mzee Shabiby mmiliki wa mabasi ya shabiby na ufunguzi ni kweli alifungua Riziwani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mtuletee huu usafiri na sisi wakazi wa Masasi
 
Nitumieni email yake maana nataka nitoe dukuduku kuwa vyoo vipo ndani na waswahili mpaka tu shit hatuoni raha halafu full a/c just imagine
 
Daaah safi sana..mi sitaki kujua mmiliki ni nani wala nani ila ili gari (RATCO) nililiona ubungo ikanilazimu kwenda tanga japo sikupanga..ts a Very nice bus ever seen in tz..OMBI LANGU plsss kama wahusika mpo humu pllss n pllls nawaombeni muanzishe safar za dar -kahama pllls plls nawaombeni sana..trust me mtateka soko zima la nyanda za juu.

Hivi kahama na yenyewe ni nyanda za juu?!
 
Hapa JF utakutana na maswali mengine ya dhihaka ambayo hayana msingi, cha muhimu jibu hoja za msingi tu zingine potezea na uwasameh bure. Mpe hongera zake mzee, mabasi safi sana.
 
RATCO umetuchanganya.Umetuambia kampuni ya babako mwene idea atakuwaje Shabiby au ana share? Kuna mkanganyiko ila itajulikana tu!
 
Baba ako amelipa kodi kiasi gani mwaka jana na anawalipa mshahara kiasi gani wafanyakazi wake?ndio habari tunataka kuisikia sisi wananchi wazalendo hayo mengine hayatuhusu tukitaka kuprove tutaenda BRELA.
 
Kishombo, mzee Mohamed salim(Ratco) ni rafiki yake mzee shabiby kwahiyo kaampa ushauri tu ya kuleta mabasi na hakushare. Na mfunguzi wa hayo mabasi ni Riziwany. Mali hajagawana na mtu yeyote mali ni zake mabasi ni yake na kampuni ni yake!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom