Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unabisha nini na we we.andamana bhas?Sasa ile blog inauhusiano gani na ufanyakazi clouds fm
Alafu wewe.una maswali ya uchochezi.uliona wapi bongo fleva ikapigwa kwenye matangazo ya vifo?Habari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na nje ya nchi.
Kilichonifanya kujiuliza, hii blog pendwa ni nani mmiliki wake?
nimejiuliza sana kutokana na ukimya wa blog hii huru kutokuripoti habari za tunza za EATV zilizofanyika usiku wa tarehe 10.
Vipi wakuu, mwenye uelewa wa hii blog inamilikiwa na nani ajaribu kunielekeza.
Pia inasimamia vitu gani hadi iweze kuripoti habari yako kwani kwa tukio la jana ndio lilikua tukio kubwa katika burudani hapa nchini lakini likasusiwa na millardayo kitu ambacho si kawaida yake!
Mwisho, pongezi nyingi ziwafikie East Africa Tv kwa kufanikisha EATV AWARDS 2016
Hawajaona hiiSammisago.com kwani hii blog imewai report fiesta m achen utoto
ni blog ndogo sana hii na haina nguvu kubwa kama millardayoMbona sammissago.com haijawahi post fiesta??
Au wakifanya wengine wapo sawa ila wakifanya clouds ni kosa?
Degree anayo lakini?Inamilikiwa na millard ayo mtangazaji wa clouds fm,ila hii blog sio huru kama alivo mmiliki wake japo naona ni kukosa weledi tu,sawa EATV ni washindani wa clouds lakini sikutegemea kama huyo jamaa angekuwa mnazi kiasi hicho,hata habari za jide huwa haandiki,hizo ndo akili za waandishi wetu wa habari kanjanja.
Njaa mbaya. Inakuondolea confidenceSasa ile blog inauhusiano gani na ufanyakazi clouds fm
Degree anayo lakini?
Sasa ile blog inauhusiano gani na ufanyakazi clouds fm
Unajua bongo unaweza ukawa unajua kitu ...lakini ukionyesha ujuaji wako mbele ya watu inakula kwako ni bora kuishi kinafiki kama watakavyo wao ili siku ziendelee.Kuna watu hujitokeza na kumsifia Millardayo kwamba ni miongoni mwa vijana wenye mafanikio zaidi!
Kumbe nayeye amna kitu anategemea kibarua clouds, Ninavyomuona hatakiwi kuwa muoga kiasi hiki wakati anauwezo wa kujitegemea pasi na Clouds ya Ruge.
Elimu kwa wanahabari wetu inahitajika ili waondokane na utumwa wa namna hii na kujitambua.
Mkuu ikulu imengiaje hapa?Wenye degree walienda kuulizia pilau Na whisky pale ikulu.