Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Dunia imeumbwa kwa ajili ya viumbe hai na visivyohai ktk uso wa dunia huku mwanadamu akipewa.mamlaka ya kuongoza viumbe wengine......maana yake basi dunia ni ya viumbe wote walioumbwa na mwenyezi kama makazi ya uhai wao.. kwa mtazamo wangu...