Ni nani mnufaika wa Grand Ethiopian Renaissance halts?

And yet Kenya ranks higher than Tz on health indicators, Infrastructure, education...
Japan Ranks higher on those metrics than usa and has twice the GDP debt % of USA
Saudia arabia has virtualy no debt but ranks lower on those metrics than usa.
Nigeria has $400bn economy but a smaller budget than kenya.
See how absurd your comparison is? This is not a fish market where you weigh kilos to compare. Economics is not your forte
 
Onyesha ni mradi gani mkubwa huko kwenu uliotumia pesa ya serikali yenu, hiyo bajeti kubwa yote inategemea wachina kuwapa pesa. Taifa gani linapanga matumizi makubwa lakini linategemea kukopa kwa zaidi ya 90%.

Sikumbuki project ata moja ambapo Wachina 'walitupatia pesa'.
Jina unalotafuta ni 'kutukopesha'.

Eventually, hii ni pesa ambayo tunalipa kila mwaka. Kwa hivyo ni uongo kusema kwamba sio pesa yetu.
 
Money in Tz has been stolen by corrupt foreigners for years. Thats why they are struggling. Upto now $190bn has been ear marked for recovery in mining alone.
Imagine what $190bn could have done in Tz over those years..Good thing JPM has plugged the holes and revenues from those sectors to Gvt has started to trickle in
 
And this is not Japan nor US, This is EAC where our GDP and population are not that far apart.... Although we are comaparing infrastructure budgets , If someone claims that they use there own money to build infrastructure projects while Kenya only take loans to build projects.... It is very fare game to show them where our own money is spent.... i.e If Kenya takes a $1B loan to build a road and then spends $3B for Education and Tanzania Uses $1B of its own money to build a road but spends $800million for education... Tanzanians then don't get a vote to talk about how Kenya chooses to spend its money... Stay on your lane
 
Sikumbuki project ata moja ambapo Wachina 'walitupatia pesa'.
Jina unalotafuta ni 'kutukopesha'.

Eventually, hii ni pesa ambayo tunalipa kila mwaka. Kwa hivyo ni uongo kusema kwamba sio pesa yetu.
Kenya ikichukua mkopo -hiyo ni pesa ya walipa kodi wa kenya
Tz ikichukuwa mkopo - hiyo sio pesa yao ni ya kupewa
Hypocricy
 
For good measure, when you say kenya spends 30bn on education, remove a 1/3 same for health etc..
The real budget for kenya is 66% of $26bn which is
For good measure, when kenya spends $3bn on education,round it off to 2/3 = $2bn
Same with kenyas total budget of $26 bn should be rounded of to $17bn
Btw whats the need of spending money on education when even menial jobs go to chinese? 😂😂😂
1500 doctors are unemployed while cubans are employed?
 
Kenya ikichukua mkopo -hiyo ni pesa ya walipa kodi wa kenya
Tz ikichukuwa mkopo - hiyo sio pesa yao ni ya kupewa
Hypocricy

Kuna difference ya loan na donation.
Tanzania is the king of donations.

Kenya infrastructure project zake zote ni loans, not donations.
 

Do you listen to yourself saying $190 bn?
The company that your Supremo was demanding that money from has never made such money in its lifetime, and is not worth anything close to that.

One thing I give ******** credit for is his ability to make even wise people sound foolish. He is a very talented populist.
 
For the case ya tz is just 2100mw which is easy hata kutumia ndani kwa kuzima vyanzo ambavyo ni ghali,remember hydro ndiyo cheapest of all.
 
You dont read, 190bn is Backdated taxes fines and intrest, Actual loss is half of that 85bn. That is only in 1 sector of the economy..
So now you have your answer why Tanzania is still backward..This is something JPM is always open about.."Tumechezewa sana"
 
And yet Kenya ranks higher than Tz on health indicators, Infrastructure, education...
In subsahara Africa, Tanzania is second after South Africa in better health care and road networks, ninyi endeleeni kujenga barabara za mijini wakati Turkana, Narok na North Eastern hawajawahi ona lami.
 
You must be crazy, do you know the meaning of budget?, that means you must plan your expenditure to fit your income, how can you be proud to budget bigger expenditure than what you have?.

Tanzania uses its money in nearly all sectors, only small percent of its projects depend on borrowing, how can you increase your budget of education while budget for development projects nearly 90% are donors dependent?
 
Kuna difference ya loan na donation.
Tanzania is the king of donations.

Kenya infrastructure project zake zote ni loans, not donations.
Which project of Tanzania is donations dependent?. Tofauti ya Tanzania na Kenya ni kwamba, Tanzania inatumia pesa yake ya ndani, Kenya inategemea kukopa.
 
Which project of Tanzania is donations dependent?. Tofauti ya Tanzania na Kenya ni kwamba, Tanzania inatumia pesa yake ya ndani, Kenya inategemea kukopa.

Hii flyover mlifungua juzi. A gift from the government of Japan.

Mtashinda tu mkisema Kenya hukopa. Hata Thika road mlisema hivyo tu. Sasa hivi, Thika Road tushamaliza kulipia deni, na pesa ya ndani.
So, utasema Thika road ilijengwa na pesa ya Kenya ama ya China?
 
Mavi ya kuku, nani amekuambia ni gift?, lete ushahidi Tafadhali sana. Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tanzania tunatumia pesa yetu ya ndani katika miradi mikubwa ya maendeleo, Kenya mnategemea mikopo katika miradi yote mkubwa, Taifa linalotegemea mikopo ni Taifa tegemezi, Uhuru wa kweli ni kupunguza kukopa.
 

You think $85bn sounds any better?
Acacia is a company valued at about $800 million, and has annual profits of a Kenyan bank. They were even unable to pay a $300 million fine.
It's just a case of stupid populism.

Even fining Apple $190bn is impossible.
 

Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba Kenya tunakopa kufanya projects 100 sasa hivi, na kulipa baadaye.
Ilhali Tanzania inafanya projects 2 sasa hivi kwa pesa yake.

Baada ya miaka 20, Kenya itakuwa imekamilisha projects 1000, na kulipa hayo madeni.
Tanzania itakuwa imekamilisha projects 50.

It's just a matter of priority. Kenya iko na haraka ya kuendelea. Tanzania hamna mbio.

Ukitaka ushahidi wa hio gift kutoka Japan, enda ukasome hapa - Tanzania gets first flyover thanks to Japanese grant | Africanews
 
1)Kenya ndio biggest recipient wa grants toka USA na European countries in EAC Kenya signs Sh520bn loans and grants deal with European Union

2)Projects zinazoendelea Tanzania, thamani yake ni sawa na projects zote za KE+UG+RW+BR +SS.

3) Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tanzania inatumia pesa yake wenyewe wakati Kenya inategemea kukopa, ukitegemea kukopa kawaida unapoteza Uhuru wa kujiamulia maisha yako.
 

1. Taja project ambayo imekuwa financed na donations Kenya. Grants tunazopata huenda kwa sectors kama fighting HIV etc.

2. Uko na wazimu.
Kenya projects
SGR - $10 billion
Lapset - $40 billion
Roads - Over $10 billion (2500km currently under construction in different stages. Another 2500 at different stages of procurement.)
57 Dams - Over $5 billion
Energy - Many projects ongoing over $3 billion

There is a nice map here - President's Delivery Unit - Flagship Projects - National Roads Network
You can check all the roads under construction in all counties. Their lengths, cost and percentage completion.

Those are just the main ones. There is healthcare. Cancer, kidney, liver machines in all 47 county hospitals.
Airports

Sasa, leta projects za Tanzania.
 
Tanzania, Japan sign Sh52.2bn flyover deal
This is to confirm to you that, TAZARA flyover is not donation from Japan, it is a loan from the GoJ to GoT with interest rate of 0.01%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…