Ni nani mnufaika wa Grand Ethiopian Renaissance halts?

1)SGR. $14B
2)LNGP. $45B
3(Uganda pipe line $4B
4)Tanzania to Uganda gas pipe line $3.9B
5)Rufiji hydroelectric dam $3.9B
Tanga cement plant $2B
 
3) Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tanzania inatumia pesa yake wenyewe wakati Kenya inategemea kukopa, ukitegemea kukopa kawaida unapoteza Uhuru wa kujiamulia maisha yako.

Tanzania hukopa pesa mingi kila mwaka.
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kwamba Kenya ikikopa, tunasema hio pesa inaenda kwa project fulani.
Mfano, tutakopa $3 billion ambayo inaenda kwa SGR.

Lakini Tanzania ikikopa, inachanganisha hio pesa na budget yake ya mwaka, alafu indirectly inaziweka kwa projects.
Baadaye, populist president wenu atakuja aseme kwamba ni pesa yenu.
 
Mirsi ndiyo chanzo cha mradi wa ethiopia kusua sua.. Wamewa assassinate sana ma project engineers
 
Be informed, Kenya haina miradi wowote ule mkubwa unaofikia $1B, hizo unazopiga ni porojo na uongo mtupu, mradi mkubwa kwa sasa Kenya ni Lamu port serikali ilitoa $500M sasa hivi hakuna pesa zingine.
 
1)SGR. $14B
2)LNGP. $45B
3(Uganda pipe line $4B
4)Tanzania to Uganda gas pipe line $3.9B
5)Rufiji hydroelectric dam $3.9B
Tanga cement plant $2B

Kweli unaona wewe ni ungwana ujumuishe projects ambazo zitakamilika 50 years from now?
Wapi zile projects ambazo construction yake imeanza.

Na zingine naona kwa hii list yako zinakaa private projects sio za serikali.
 
Projects zote zilizoanza zinaenda na kukamilika kwa wakati, BRT, JKNIA imefikia 95%, May 2018 unafunguluwa rasmi, SGR unaanza kazi November 2019, Hospitali ya Mloganzila imeanza kazi this year, TAZARA Flyover imeanza kazi, nini inataka?.

Tafadhali niambie $40 ya LAPSET itatumika katika kitu gani na ni nchi gani itatoa hiyo pesa?. LAPSET died long time ago alongside with CoW.
Kweli unaona wewe ni ungwana ujumuishe projects ambazo zitakamilika 50 years from now?
Wapi zile projects ambazo construction yake imeanza.

Na zingine naona kwa hii list yako zinakaa private projects sio za serikali.
 
Be informed, Kenya haina miradi wowote ule mkubwa unaofikia $1B, hizo unazopiga ni porojo na uongo mtupu, mradi mkubwa kwa sasa Kenya ni Lamu port serikali ilitoa $500M sasa hivi hakuna pesa zingine.

SGR sio mradi?

Alafu, unadhani hio Lamu port ni mradi wa mwaka mmoja?
 
The parent company of Accacia has agreed to pay. That in itself is addmition of guilt.
If the $190bn was just hot air, accacia would have simply closed it mines and gone or launched a case at World Trade Org for anti trust laws..and FYI.. the theft of 85bn has been going on for atleast 2 decades.
This is the reason Tz is lagging behind, you have been sufficuently answered
 

Ukimaliza hio flyover moja, miradi yenu major ya barabara inaishia hapo.
Hii ndio the major ones Kenya sasa hivi. Projects ambazo ziko na budget ya above Ksh2 billion

Under KURA (Nairobi only)

Upper Hill – Mbagathi
Upgrading of Old Nairobi road and Bishop Muge
Upgrading of Eastlands Roads Phase II
Ngong Road – Kibera – Kungu Karumba – Langata Road
Upgrading of Eastleigh Roads Phase II
Syokimau – Katani Road
Outering Road
Western Bypass
JKIA to Rironi
Waiyaki - Redhill
Lenana – Muchugia road
Mlolongo – Kware – Katani Link Road
Ngong road
Greater Eastern bypass
Construction to Bitumen Standards of Meru Bypass Roads

Under KENHA (majority over 100km each)
Loruk – Barpelo
Nuno-Modogashe
Eldoret Bypass
Kibwezi - Mutomo - Kitui
Mombasa – Mariakani
Kalobeiyei River - Nadapal
Lokitaung Junction - Kalobeiyei River
Lodwar - Lokitaung Junction
Loichangamatak - Lodwar
Kisii – Ahero –Isebania (A1) Lot 1: Isebania - Kisii
Kitale – Endebes - Suam
Chiakariga – Meru (C92)
OljoOrok - Dundori
Garsen – Lamu – Witu
Uplands - Githunguri
Nyaru - Iten
Ugunja-Nyadorera-Ruambwa
Mau Narok-Kisiriri
Busia - Malaba
Narok - Sekenani
Kisumu - Kakamega
Kakamega - Kaburengu (Webuye) New
Kisumu Boys - Mamboleo
James Gishuru- Rironi
Dualling of Athi River - Machakos Turnoff
Construction of Interchange at Kericho Jn (B1/C23)
Construction of Interchange at Ahero Jn (A1/B1)
Construction of 3 interchanges at Nakuru


Sasa, list the major road projects za Tanzania.
 

Agreed to pay what? $300 million or $190 billion?
The way you talk most times shows just how brainwashed you are.

Agreeing to pay a fine does not equate to admission of guilt. If you are running a company you have to decide how to deal with a pyscho president if you want to remain in business.
Do you close down shop and lose everything or do you take a hit and recover in 3 years?

Also, shutting down does not mean the dictator will let you leave with your equipment. Supremo can easily nationalize your operation, making you lose much more than the $300 million fine.

Since you pretend to be an economist, you should know all options must be weighed.
 
Hahahahaha, unachekesha wewe, hizo ulizotaja ni barabara au vipande vya barabara?, naomba utaje jumla ya urefu wa barabara zote na gharama ya pesa mnayotumia na wapi hiyo pesa inatoka.

Tanzania ni kubwa Mara mbili ya Kenya, hii maana yake ni kwamba, urefu wa barabara moja ya Tanzania ni sawa na barabara mbili za Kenya.

Tanzania kwasasa ni nchi ya pili nyuma ya South Africa in Subsahara Africa katika road network za mikoani, hakuna sehemu ya nchi ambayo haijawahi kuwa connected, ninyi Kenya Northern part is cut off from the rest of the country.
 
Ninazungumzia mradi unaotumia pesa ya ndani, sio miradi ya kukopa na kuongoza deni la Taifa na kuuza Uhuru wa nchi.

Wewe unapoteza muda wetu.

Kenya - Tunakopa for specific projects, na kufanya break down yake.
Tanzania - Mnakopa na kuchanganisha pesa yote kwa gunia moja. Kisha project zenu zinakuwa financed kutoka hili gunia.

Tanzania, ambayo kila mwaka iko na budget deficit, hutoa wapi pesa ya miradi?
Tanzania, ambayo kila mwaka inalipa madeni, huwa ikilipia nini kama miradi ilijengwa 'na pesa yetu'?

Mwenye macho haambiwi tazama.

Hapa Kenya, Uhuru angefanya vivyo hivyo na akope pesa ya miradi kama SGR na kuchanganya na bajeti ya taifa, kisha atudanganye kwamba ni pesa yetu.
 
You must be ignorant, $300m was just a sort of down payment pending solution on how the company will restructure its finances to payback $190bn.
JPM is not stupid, no company can write you a cheque of 190bn, they have to plan themselves and payback over years.
If Accacia/ barrick was not Guilty, they could be in WTO court right now and Tz would be facing international sanctions..
 

Kilomita 2500+ zinajengwa sasa hivi Kenya.
Kilomita 2000+ ziko kwa stage mbali mbali za procurement.

Wewe apart from Tazara flyover na BRT, hakuna road poject ingine unajua.

Hii yako nimeona ni denial. Haina tiba.
 
For the case ya tz is just 2100mw which is easy hata kutumia ndani kwa kuzima vyanzo ambavyo ni ghali,remember hydro ndiyo cheapest of all.
Kumbuka kwa sasa mnatosheka na hio 1,500MW , kuongeza 2100MW fuse na transformer zote zitaungua.... Mwanzo kabla ya kumaliza kujenga hio dam itahitajika complete remodelling of the National grid ili muweze kupokea hio 2100MW ,
 

You're totally and completely dumb.
If you think any company can commit to paying $190 billion. Whether in 2 or 2000 years.

Yours is the worst case of brainwashing I've encountered here.

And I've Googled. They refused to pay even that $300 million. They said they cannot afford.

Barrick may be a major shareholder, but Acacia is just one of their operations. An independent and listed operation.
If Kenya government fined Safaricom Ksh19 Trillion today, you think Vodafone will come knocking with loads of cash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…