kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Akili yako wewe ni ndogo sana, hivi shopkeeper akikuibia Shs 100 kwa siku kwa miaka kumi, baadae ukagundua, ukipiga hesabu jumla utakua unamdai bei gani?, haina maana kwamba hiyo pesa yote amehifadhi, alikua anatumia, lazima mkubaliane terms za kukulipa kidogo kidogo wakati akiendelea na kazi.
Kumbuka tanroads hawasimamii local roads yan mfano btn districts
Wewe ni chizi wa kuokota makopo hapo Kibera, Acacia bado wana endelea na biashara duniani kote na wanatengeneza faida, mwaka Jana pekee walitengeneza faida ya karibu $1B hapa Tanzania pekee pamoja na kwamba wanezuiliwa kupeleka containers, ina maana wakikubali kulipa wataruhusiwa kuchukua containers zao na kutengeneza faida kubwa, wanawe kulipa $1B kwa mwaka kutoka hapa Tanzania pekee.For Acacia to pay, it would have to sell itself. Sell itself 100 years from now. Sell its mother. Sell its brothers. Sell its sisters.
And it would still not have enough money to pay 10% of the $190 billion.
Duh!Jiwe limeingiza baridi. Mjadala ni mtamu halafu unashirikisha matusi. Lol.....acha niondoke kabla nitukanwe yale matusi ya ajabu.Huu ni wivu wa kupitiliza, wivu ukizidi unazaa roho mbaya, roho mbaya ikizidi inasababisha umasikini ambao huzalisha slums kama vile Kibera, kama wenyewe wanaodaiwa wanekiri kudanganya katika kulipa kodi na kukubali kulipa, who are you a Kibera dweller to talk otherwise?
Wewe ni chizi wa kuokota makopo hapo Kibera, Acacia bado wana endelea na biashara duniani kote na wanatengeneza faida, mwaka Jana pekee walitengeneza faida ya karibu $1B hapa Tanzania pekee pamoja na kwamba wanezuiliwa kupeleka containers, ina maana wakikubali kulipa wataruhusiwa kuchukua containers zao na kutengeneza faida kubwa, wanawe kulipa $1B kwa mwaka kutoka hapa Tanzania pekee.
Kujifunga kibwebwe ni kwa ajili ya kucheza ngoma za kienyeji ulitakiwa uandike TUJIFUNGE MKANDA maana yake tujiandae kukamuliwa hadi nya.Kwajinsi Magufuli anavyotaka project iyende kwa kasi...Tupo katika njia sahii...Lakini sema tu lazima tujifunge kibwebwe...
Hahahahahaha, 64% of Acacia is owned by Barrick here in Tanzania, Barrick ndiyo iliyokubali kulipa hilo Deni, angalia profit ya Barrick duniani kwa mwaka Jana.Acacia ni kampuni listed kwa London Stock Exchange. Kwa hivyo leo hautaweza kupika data.
Acacia 2017 profit - $257 million
Na kumbuka hii sio pesa kutoka Tanzania pekee. Wako na operations nchi zingine.
Acacia Mining scraps dividend after profit hit by Tanzania export ban | Reuters
Tafadhali sana usikimbie huu mjadala, nimekuwekea link ya Tanroads inayo onyesha inadi ya projects (157), urefu wa kila barabara na gharama yake, hatua ya mradi ulipofikia.Kumbuka tanroads hawasimamii local roads yan mfano btn districts
Samahani sana nyanyangu, sikufahamu kwamba neno Kibera ni matusi, nisamehe bure.Duh!Jiwe limeingiza baridi. Mjadala ni mtamu halafu unashirikisha matusi. Lol.....acha niondoke kabla nitukanwe yale matusi ya ajabu.
Duh! Lete rural roads za kwenu na mimi nitakuletea za KERRA.Samahani sana nyanyangu, sikufahamu kwamba neno Kibera ni matusi, nisamehe bure.
But that's where you lived mkikuyu when you were selling mitumba in gikomba. Sasa nyota imeng'aa unasahau ulikotoka? If you were never sponsored by that Kenyan you always talk about, where would you be?Be humble!Makosa sana kupea kibera resident simu na bundles..SMH seriosly????
Hahahahahaha, 64% of Acacia is owned by Barrick here in Tanzania, Barrick ndiyo iliyokubali kulipa hilo Deni, angalia profit ya Barrick duniani kwa mwaka Jana.
Tanzania says Barrick to pay money owed by Acacia to Gov’t | MINING.comWapi evidence kwamba Barrick ilikubali kulipa. Wapi link?
Na nitakuuliza tu vyenye niliuliza mkikuyu kichwa maji.
Leo hii serikali ya Kenya itoze Safaricom fine ya $190 billion, wewe unadhani Vodafone itakimbia kuja kulipa?
Acacia is a very small part of Barrick businesss.
Barrick has a net worth of $15 billion
Acacia has a net worth of less than $800 million. Of which Barrick owns 63%.
Kumaanisha, worth ya Acacia kwa Barrick ni $500 million. Which translates to 3.3%.
It is much easier for Barrick to give away Acacia than pay 0.25% of the fine demanded by Supremo.
Hehe ..mbona mm naku support bro.. Nahis hujanielewa... Tan roads hawasimamii barabara zote za Tz kwa hyo mtu aki search projects za tanroads aisihisi kuwa hatuna project nyingne... Za barabara mfano DMDPTafadhali sana usikimbie huu mjadala, nimekuwekea link ya Tanroads inayo onyesha inadi ya projects (157), urefu wa kila barabara na gharama yake, hatua ya mradi ulipofikia.
Ninakuomba na wewe ulete details kama hizi, idadi ya projects, urefu wa kila barabara na gharama yake na status ya mradi.
Usipoleta link yenye hizi taarifa, huu mjadala utajifunga automatically, unaweza kuomba msaada toka kwa wenzako. Jambo moja lipo wazi hapa, Kenya haiwezi kabisa kupambana na Tanzania katika roads projects.
Sorry nimekosea, nilikua ninamlenga huyo mkenya Kenny000, ninaomba umforwardie kama una utaalamu huo, asikimbie madaHehe ..mbona mm naku support bro.. Nahis hujanielewa... Tan roads hawasimamii barabara zote za Tz kwa hyo mtu aki search projects za tanroads aisihisi kuwa hatuna project nyingne... Za barabara mfano DMDP
Soma post #150 hiyo nilikutumia wewe, usikimbie huu mjadala wa barabara kati ya Kenya na Tanzania hadi kieleweke.Wacha uzembe. Nimekupa link na bado unateta.
Tanzania - 47 projects
Kenya - 119 projects
Tafadhali sana usikimbie huu mjadala, nimekuwekea link ya Tanroads inayo onyesha inadi ya projects (157), urefu wa kila barabara na gharama yake, hatua ya mradi ulipofikia.Acacia ni kampuni listed kwa London Stock Exchange. Kwa hivyo leo hautaweza kupika data.
Acacia 2017 profit - $257 million
Na kumbuka hii sio pesa kutoka Tanzania pekee. Wako na operations nchi zingine.
Acacia Mining scraps dividend after profit hit by Tanzania export ban | Reuters
Tafadhali sana usikimbie huu mjadala, nimekuwekea link ya Tanroads inayo onyesha inadi ya projects (157), urefu wa kila barabara na gharama yake, hatua ya mradi ulipofikia.
Ninakuomba na wewe ulete details kama hizi, idadi ya projects, urefu wa kila barabara na gharama yake na status ya mradi.
Usipoleta link yenye hizi taarifa, huu mjadala utajifunga automatically, unaweza kuomba msaada toka kwa wenzako. Jambo moja lipo wazi hapa, Kenya haiwezi kabisa kupambana na Tanzania katika roads projects.
From joto la jiwe