Wote matapeli tuu wanacheza na hisia za watu tuu na kujitajirisha
Ni kweli kabisa that's why namkubalii, naweza muweka level za kina strive Masiyiwa wa ZimbabweEric anayaishi anayo wafundisha watu .....wengine wanawafundisha watu biashara lakini hawana uwezo wa kuonesha biashara hata wanazo zifanya na zilivyo fanikiwa.....mimi hao huwaita wapiga story na wasoma vitabu
Les brown yuko vizuri sana,Zig Zaglar,Robinson,Eric sipendi ule ufokaji wake kama anarapEric shigongo na kumkubali sana wa nche namba moja in les brown, tony robins na Eric Thomas a.k.a the hiphop preacher
Nan anakujua sasa mkuu anataka wale maarufMy self Am The one I do believe on my ability
Video zao zinapatikana wapi?Les brown yuko vizuri sana,Zig Zaglar,Robinson,Eric sipendi ule ufokaji wake kama anarap
Unabeef na mtu asiyekujua?Huyu nina beef naye lakini ni mzuri sana kwenye motivation.... Nikki wa pili. Yupo well informed na ni dynamic sana, anaweza akabadilika kulingana na necha ya mchezo. Mauki habadiliki.
Youtube mkuu,zimejaa teleVideo zao zinapatikana wapi?
Hata me nimeliona Ilo nilipo anza kujisomea Vitabu Asante kwa linkSoma vitabu, utagundua kwamba hawana jipya, wana-copy paste.
Ukitaka kujua hilo angalia wengi wa Motivational Speakers hawafanikiwi kupitia yale wanayotuambia tufanye bali michango yetu ndo vyanzo vya mapato yao.
Kuna vitabu vingi sana ukisoma utajua nini nazungumza, sema vingi viko katika lugha ya kigeni.
Kuna hii thread hapa chini ina kila kitabu unachohitaji;-
https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-110#post-21169167
Mauki ana shida gani mkuu?Huyu nina beef naye lakini ni mzuri sana kwenye motivation.... Nikki wa pili. Yupo well informed na ni dynamic sana, anaweza akabadilika kulingana na necha ya mchezo. Mauki habadiliki.
Ukileta facts za vitabu ww kila mtu dunian basi ana copy, maan kila kitu kilishafanyika na kusemwaSoma vitabu, utagundua kwamba hawana jipya, wana-copy paste.