Ni nani motivational speaker mkali hapa bongo?

Ni nani motivational speaker mkali hapa bongo?

Eric anayaishi anayo wafundisha watu .....wengine wanawafundisha watu biashara lakini hawana uwezo wa kuonesha biashara hata wanazo zifanya na zilivyo fanikiwa.....mimi hao huwaita wapiga story na wasoma vitabu
Ni kweli kabisa that's why namkubalii, naweza muweka level za kina strive Masiyiwa wa Zimbabwe
 
Eric shigongo na kumkubali sana wa nche namba moja in les brown, tony robins na Eric Thomas a.k.a the hiphop preacher
Les brown yuko vizuri sana,Zig Zaglar,Robinson,Eric sipendi ule ufokaji wake kama anarap
 
Huyu nina beef naye lakini ni mzuri sana kwenye motivation.... Nikki wa pili. Yupo well informed na ni dynamic sana, anaweza akabadilika kulingana na necha ya mchezo. Mauki habadiliki.
Unabeef na mtu asiyekujua?
 
hamna kitu wote wana copy na ku paste waliyoyasoma kwenye vitabu!! kelele nyingi kwenye uhalisia sifuri.
 
Mmejitahidi sana kuwataja wanaowavutia,,mna haki na mna sababu zinazokubalika kutokana na unavyohitaji wewe mwenyewe..
Mi hua namkubali yyte yeyote ambae atafundisha kitu cchote chenye manufaa kwangu..
Shigongo-- hana elimu ya sekondary lakin njia alizopitia yeye kama yeye ni somo tosha kabsa wala halihitaji kitabu

Dr.Ellie VD Waminian huyu msomi haswa,muelewa,mwalimu anaekupa madini ambayo ni huwez kujuta asilan kumsikiliza,anafit kila idara,hakika kwa mm binafsi hakuna naemwamin kama huyu..
 
Kuna jamaa anaitwa SK2016, namkubali zaidi ya Sana.

I trust myself and believe in Jesus Christ.
Sina ujinga wa kumuamini MTU mwingine,
Wangapi nimewakubali wakatuangusha kwa njaa zao
 
Soma vitabu, utagundua kwamba hawana jipya, wana-copy paste.

Ukitaka kujua hilo angalia wengi wa Motivational Speakers hawafanikiwi kupitia yale wanayotuambia tufanye bali michango yetu ndo vyanzo vya mapato yao.

Kuna vitabu vingi sana ukisoma utajua nini nazungumza, sema vingi viko katika lugha ya kigeni.

Kuna hii thread hapa chini ina kila kitabu unachohitaji;-

https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-110#post-21169167
Hata me nimeliona Ilo nilipo anza kujisomea Vitabu Asante kwa link
 
Wapo weng t,ila wale ambao hawafanyi kam kazi asee wanaweza san kuw motivational speakers..mfano ni bwana MO dewji..ukimskiza,huezi waza au kuwafkiria akina luvanda,shigong na wengne..mskize mo kweny mkasi wa salama.
 
RC wa mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda pamoja na Shekhe Kipozeo (sijui nimempatia jina huyu shehe) yule ambaye anaongelea sana mambo ya mapenzi
 
Soma vitabu, utagundua kwamba hawana jipya, wana-copy paste.

Ukitaka kujua hilo angalia wengi wa Motivational Speakers hawafanikiwi kupitia yale wanayotuambia tufanye bali michango yetu ndo vyanzo vya mapato yao.

Kuna vitabu vingi sana ukisoma utajua nini nazungumza, sema vingi viko katika lugha ya kigeni.

Kuna hii thread hapa chini ina kila kitabu unachohitaji;-

https://www.jamiiforums.com/threads...hitaji-nitafute.315875/page-110#post-21169167
Ukileta facts za vitabu ww kila mtu dunian basi ana copy, maan kila kitu kilishafanyika na kusemwa
 
kuna jamaa anaitwa William Mushi ni babaake wa Mushi huyu mmiliki wa JF, yupo vizuri hatari
 
Back
Top Bottom