Wewe upimwe akili.lemutuz kiboko yao
Comment bora kabisa kwenye thread hii[emoji122]JPM namkubali sana hasa pale anapoenda off point au kuropoka pia huwa sichoki kumsikiliza akiongea ngeli, huwa nashawishika wanangu wote wapite English medium...!!
RC wa mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda pamoja na Shekhe Kipozeo (sijui nimempatia jina huyu shehe) yule ambaye anaongelea sana mambo ya mapenzi
Ukileta facts za vitabu ww kila mtu dunian basi ana copy, maan kila kitu kilishafanyika na kusemwa
Umarekani mwingiHarris Kapiga ndo baba lao
mi mauki nikisia tu jina lake nafurahi najua. vinakuja vitu vya hatarimi namkubali chriss mauki ingawa huwa anaongea kwa mikogoo..kiasi kwamba unaweza ukaishia kumtamani badala ya kumsikiliza
Huyu waminian ndio kiboyo yao aisee ukiwa unamskiliza na ukimuona live haviendani yupo fiti kila idata anakwambia ukitaka taka sana vitu mwisho utaitwa takatakaMmejitahidi sana kuwataja wanaowavutia,,mna haki na mna sababu zinazokubalika kutokana na unavyohitaji wewe mwenyewe..
Mi hua namkubali yyte yeyote ambae atafundisha kitu cchote chenye manufaa kwangu..
Shigongo-- hana elimu ya sekondary lakin njia alizopitia yeye kama yeye ni somo tosha kabsa wala halihitaji kitabu
Dr.Ellie VD Waminian huyu msomi haswa,muelewa,mwalimu anaekupa madini ambayo ni huwez kujuta asilan kumsikiliza,anafit kila idara,hakika kwa mm binafsi hakuna naemwamin kama huyu..
huo ndio ukweli mkuu...tena usiombe lugha inayotumika iwe English!! weeh unaweza ukadhani jamaa hajazaliwa Tanzania hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Demba umetisha. Atakusikia Miriam, shauri yako.
Ananifurahisha sana mambo yake,hahahahahaShekhe Kipozeo, mzee wa Neema za Allah.
Ha ha haUnabeef na mtu asiyekujua?