Ni nani motivational speaker mkali hapa bongo?

Ni nani motivational speaker mkali hapa bongo?

mi namkubali chriss mauki ingawa huwa anaongea kwa mikogoo..kiasi kwamba unaweza ukaishia kumtamani badala ya kumsikiliza
mi mauki nikisia tu jina lake nafurahi najua. vinakuja vitu vya hatari
 
Mmejitahidi sana kuwataja wanaowavutia,,mna haki na mna sababu zinazokubalika kutokana na unavyohitaji wewe mwenyewe..
Mi hua namkubali yyte yeyote ambae atafundisha kitu cchote chenye manufaa kwangu..
Shigongo-- hana elimu ya sekondary lakin njia alizopitia yeye kama yeye ni somo tosha kabsa wala halihitaji kitabu

Dr.Ellie VD Waminian huyu msomi haswa,muelewa,mwalimu anaekupa madini ambayo ni huwez kujuta asilan kumsikiliza,anafit kila idara,hakika kwa mm binafsi hakuna naemwamin kama huyu..
Huyu waminian ndio kiboyo yao aisee ukiwa unamskiliza na ukimuona live haviendani yupo fiti kila idata anakwambia ukitaka taka sana vitu mwisho utaitwa takataka
 
shigongo anachokwambia ndicho alichofanya na anachofanya ila hao wengine sijui harisi kapiga, nikki wa pili , luvanda hamna kitu kubali kataa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Demba umetisha. Atakusikia Miriam, shauri yako.
huo ndio ukweli mkuu...tena usiombe lugha inayotumika iwe English!! weeh unaweza ukadhani jamaa hajazaliwa Tanzania hii
 
Back
Top Bottom