Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Gwajima a.k.a dude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaesoma hapa unamkubali nani?
Kwa mliowai kuwasikia au kuwaona watoa mada au waongeaji kwenye majukwaa ya hamasa kwenye angle tofauti naamini kuna watu walikuvutia kwa umahiri wao, story zao halisi za maisha au kukupa nguvu fulani hivi.
Mimi namkubali sana Masudi Kipanya na kuna mtu nilimuona jukwaa fulani anaitwa James.
Namkubali Kipanya sababu atengenezi hadithi na ana facts.
Wewe unaesoma hapa unamkubali nani?
Huyuhuyu ninayemjua au ndugu yake.Ni Eric Shigongo pekee ndiye anayaishi anayo yafundisha na kidogo unaweza ukawa na mifano ya kuona hasa anapo ongelea biashara na ujasiriamali lakini wengine walio baki ni wapiga story na wasoma vitabu tuuuu.
Munga Tehenani was exceptional ever. May The Almighty God Rest his Soul in Eternal Peace. Amen.Marehem Munga Tenani {Aliyekuwa mmiliki wa gazeti la Jitambue}
Kweli wote wanataka.pesa wanajitahidi kukuvuta kihisia na story zao za uongoWote matapeli tuu wanacheza na hisia za watu tuu na kujitajirisha
Ananifurahisha sana mambo yake,hahahahaha
Sikujua kama huyu mzee ni motivational speaker. Kuna speech moja alitoa TED ilikua vizuri sanaAli Mufuruki
Shukran kwa kuandika jina lake kwa usahihiMunga Tehenani was exceptional ever. May The Almighty God Rest his Soul in Eternal Peace. Amen.
Sina huwa namuona tu YUTUBUShemu nakuja Mwanza tuangalie wote clip zake yule shekhe, si unazo?