mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.