econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Mshauri wao Mkuu ni Maria wa Nairobi na ndie De Facto leader. Kamati Kuu yao ni Club House.
Wewe wasema. Maria Sarungi ni mwanachama wa ACT
Mshauri wao Mkuu ni Maria wa Nairobi na ndie De Facto leader. Kamati Kuu yao ni Club House.
Unazuiaje uchanguzi? Kwa maandamano au kwa shinikizo gani?Kwanini upambane?. Tunataka mfumo wa uchaguzi wa kuaminiana. Mbona Ghana, Zambia, Kenya, Malawi, Botswana na SA wameweza?.
Wewe unavyoona ikitokea chadema wameshinda uchaguzi unadhani watu hawatakufa?.Siasa ni maslahi na hakuna maslahi yanayokuja kirahisi.lazima kuwe na watu wanaokufa ili wengine waishi.Chadema mnalilia mabadiliko kwa kususa.Hakuna kitu ha hicho duniani.Mabadiliko na mapambano lazima kafara iwepo.Ili watu wafe si ndiyo unavyotaka?,kuna haja gani sasa hilo litokee si heri mbaki madarakani kunusuru maisha ya watu.
Hawa jamaa ni utoto unawasumbua.Wanataka mabadiliko yawajie kwakuzungumza tu juu juu.Unazuiaje uchanguzi? Kwa maandamano au kwa shinikizo gani?
Sio kila kitu kilichowezekana nchi zingine kiwezekane hapa kirahisi rahisi tu.Hizo nchi unavyoziona jua kuna ambao walipambania hayo mabadiliko nambadiliko ni jambo lamuda mrefu.Kwanini upambane?. Tunataka mfumo wa uchaguzi wa kuaminiana. Mbona Ghana, Zambia, Kenya, Malawi, Botswana na SA wameweza?.
Sawa na uchaguzi unazuiaje?? KwaKwani Sasa hivi inawabunge wangapi? Bunge lote limejaa CCM na bado unawalalamikia CHADEMA.
Matatizo ya watoto njiti matokeo yake ndio haya, wanafikiri kupitia tumbo maana akili haikufanikiwa kukomaaMtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Sina mashaka kuhusu wazimu wa mtoa postMtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Jibuni hoja usikimbilie matusiMatatizo ya watoto njiti matokeo yake ndio haya, wanafikiri kupitia tumbo maana akili haikufanikiwa kukomaa
Shida hamjibu hoja zaidi ya kukimbilia matusi. Jibu swali japo moja unazuiaje uchaguzi mkuu?Sina wasiws
Sina mashaka kuhusu wazimu wa mtoa post
Mnazuiaje uchaguzi?Umeandika upuuzi. Au umetumwa?
Sawa nakubaliana na wewe. Huo uchaguzi unauzuiaje?Kwani Sasa hivi inawabunge wangapi? Bunge lote limejaa CCM na bado unawalalamikia CHADEMA.
Unataka demokrasia ya kuletewa kwenye bakuli sio!Kwanini upambane?. Tunataka mfumo wa uchaguzi wa kuaminiana. Mbona Ghana, Zambia, Kenya, Malawi, Botswana na SA wameweza?.
Hatuwaambii mpk muda ufike ndiyo mtaona uchaguzi unavyozuiwa. CCM mtajamba hadharani mwaka huuMnazuiaje uchaguzi?
Mimi sio ccm aisee labda kama wewe ni ccm. Huna hoja ndio maana wote wanaojibu wanatukana au kutoa kejeli. Lkn hawasemi hiyo no election inatekelezwaje.Hatuwaambii mpk muda ufike ndiyo mtaona uchaguzi unavyozuiwa. CCM mtajamba hadharani mwaka huu
CHADEMA ishiriki ama isishiriki itashindwa tuMtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Tundu Lisu amekosea hesabu ndogo sana, kuwakomesha CCM ilikuwa ni kuanza kuhubiri namna wanavyoiba kura kwasababu tayari mbinu zinazotumika wanazijua. Wangechagua majimbo kadhaa ya kuhangaika nayo wakawekeza nguvu nyingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuhesabia kura na wakaweka mawakala jasiri kura zingepatikana kuliko hiki wanachokidai sasa hivi. Hizo reforms ambazo hawakuzidai kwa nguvu hizi miaka yote hiyo wangeanza kuzidai baada ya uchaguziMtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.
Kwa ujumla mwaka huu watu wako tayari kuwapa kura nyingi ambazo zitasaidia kupata japo wabunge wa viti maalum na hatimaye ruzuki ambayo itasaidia kuendesha baadhi ya shughuli za chama.
Nguvu inayoelekezwa kuzuia uchaguzi hiyohiyo ielekee kuhamasisha watanzania kukikataa chama dola CCM. Pambana ukiwa ndani sio nje.
Pia viongozi wajibu swali kwamba uchaguzi unauzuiaje nchi nzima. HOW????. Hivi ni vitu vya kufikirika. Ni mjinga tu anaweza fikiria kuwa anaweza zuia uchaguzi. Demokrasia ni mapambano ndio maana wako wanaokufa. Sasa ukiogopa kwamba watu watakufa au kutekwa au kura zitaibiwa halafu unakaa pembeni, CCM wanawazoom tu na kuchekelea. Tengeneza plan ya ku counter hayo mambo. Huwezi kuletewa demokrasia kwenye kisosi.
Unataka uambiwe wewe kama nani na ili iweje?Mimi sio ccm aisee labda kama wewe ni ccm. Huna hoja ndio maana wote wanaojibu wanatukana au kutoa kejeli. Lkn hawasemi hiyo no election inatekelezwaje.
Hahahaa huna hoja zaid ya matusi, habari za vi nyeo zinatoka wapi?Kama wapinzani ndio wa dizaini yako basi safari ya ukombozi iko mbali. Unachojua ni kutukana tu hatari sana aiseeUnataka uambiwe wewe kama nani na ili iweje?
Tuliza kinyeo chako subiri wanaume wapambane
Mbona yalikwishatokea 2020. Wewe unataka yatokee mara ngapi mkuu??Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe justifications nzuri kwa ajili ya reforms kuelekea 2030.